mapato m.240 mgao simba sh m. 51 na yanga m.51 wadau hii ni aibu na unyonyaji mkubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mapato m.240 mgao simba sh m. 51 na yanga m.51 wadau hii ni aibu na unyonyaji mkubwa

Discussion in 'Sports' started by elimsu, Mar 8, 2011.

 1. e

  elimsu Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi inakuaje gharama za mchezo na vitu vingine vizidi mgao wa wavujajasho huku wengine wakinemeka? inasikitisha sana, huuu ni uwizi wa mchana mchana
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Wakiwa na viwanja vyao unyonyaji usingekuwepo lakini kwa kuwa vilabu vyetu vinaendeshwa na mafisadi vitabaki kunyonywa mpaka vikome.

  Ikiwa pato ni 240m, simba 51m na yanga 5ì kuna vat 48m bado kuna gharama za uwanja , kuandaa mchezo, posho, Tff .
   
Loading...