Mapapai F1: Naombeni mrejesho kwa niliowauzia

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,264
Salaam wana JF.naombeni mrejesho wa picha wana jf niliowapa bure Miche na niliowauzia Miche ya Papai maana ni miezi kadhaa sasa .pia natoa bure huduma ya Ushauri juu ya kilimo hiki cha Papai ,pia kuna group tumeunda LA walima Papai Tanzania lengo likiwa Papai itambulike na serekali kama ilivyo mazao mengine na tuweze kuunganishwa na masoko ya nje.
Kama utahitaji Miche au kuweka oda karibu sana !
Kiluvya gogoni 0755404226
.kama nilikuuzia au kukupa Miche bure rushia picha hapa
IMG_20180916_100334.jpeg
IMG_20180916_095842.jpeg
IMG-20180912-WA0007.jpeg
IMG_20180904_071409_345.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20180916_100316.jpeg
    IMG_20180916_100316.jpeg
    95.1 KB · Views: 68
broo nimependa hii sasa napataje miche kidogo

vp kuhuSu mbolea gani inafaa zaidi
Nipigie ni wapi Upo ?kama ni mjini au morogoro road naweza kukuletea au kama utaifwata ni wewe tu....

Mbolea unaweza kutumia ya kuku ikishashika Aridhi au ya ngombe ila maji ni muhimu sana
Kama ya kiwandani unaweza kuanza na urea baada ya mwezi toka uoteshe na ikifika wakati wa maua ambapo ni miezi 3-4 unaweka Npk kwa ajili maua yasidondoke na kiasi ni vijiko 2 tu kwa mwezi mara moja ....
 
mm nipo Dar number yako iko wap
 
Huu uzi mtamu sana, mkuu na mimi nitakutafuta soon, baada ya miezi miwili nitahitaji miche, nikisahau nikumbushe
 
Back
Top Bottom