Jidulamabambase
Member
- Nov 28, 2010
- 31
- 5
Nilifikiri kwa kuwa uchaguzi umekwisha na mshindi wa ubunge amepatikana nisinge endelea kuzungumzia lolote juu ya Igunga!
Nimerudi na thread hii hasa baada ya kuona picha halisi katika CTV chadematv's Channel - YouTube
Nilichokiona:-
1. Watu waliozoea kuishi pamoja tangu kuumbwa kwa IGunga leo wana shikiana mapanga na kutaka kuchinjana - Matokeo ya siasa chafu na zizizo za kistaarabu.
2. Vyama havishindani kwa hoja ila ni kupakana matope na kuchafuana badala ya kushindana kwa sera - Nchi hii haina sera ya kuongoza vyama vya siasa? iko wapi office ya Tendwa?
3. Hasira za makundi sasa inakuwa ya kijamii na inazidi kushamiri na sina shaka inaendelezwa na CCM kwa uhakika kama hatatokea mtu/kiongozi mwenye uwezo wa kukemea na kufundisha siasa za kistaarabu mbeleni kutakuwa na hali mbaya sana - CCM hawako tayari kwa ustaarabu kwa kuwa ustaarabu ukiingia itakuwa mwiso wa utawala wao.
4.Tayari Igunga kuna uhasama mkubwa - kuna mtu wa kuwa tuliza? Reconciliation