Mapambano ya Corona Kenya na Uganda ni hatari sana kwa maambukizi ya Corona

Liability

Member
Oct 20, 2019
75
100
Kinachofanyika Kenya na uganga ni hatari sana kwa maambukizi ya Corona! Polisi wanakusanya mania ya watu na kuwapa adhabu! Rwanda polisi wanaua watu badala us kolona kuua watu! Tanzania imeamua kupambana na kolona kwa tiba mbadala (maombi)
 
vuga make shaa!
IMG-20200326-WA0185.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mmoja achukue hatua...naamini Serikali imejipanga kuliko mnavyofikiri
 
Mnapenda mada za kipumbavu, kwani katika wagonjwa 13 wa Corona Tanzania Kuna wanajulikana kwa majina zaidi ya mwana Fa Sallam na Isabella?

Kawaida ya ethics za utabibu, ugonjwa wa mtu ni siri yake na Dr.

Mnafanya kosa na ujinga uliokubuhu kuficha haya maradhi, kazi kuchekelea Kenya wakati kwenu ni mwendo wa ujinga tu, kule Ulaya hata waziri mkuu amejitaja ili jamii ipambane yote kwa pamoja. Huko kwenu mna mazoea mabaya sana kwa kweli na mtakuja kutuponza ukanda huu, bora mfungiwe mipaka na wote. Ona sasa Watanzania wameanza kuwaumbua kwa kutupia mapicha mitandaoni, fuata huu uzi
Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
2352255_IMG-20200329-WA0019.jpg
 
aisee
 
38 with 2 deaths vs 14 without death, bado kuna mijitu inasema Tanzania itakuja kuziponza nchi zingine, tukisema akili zenu ni Kama za kuku tutakua tumekosea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Raha yake aone visa vinaongezeka Tanzania baada ya kuona hatua zote zilizo chukuliwa na corrupt jubilee government zimefeli,
Kama anaumia sana akuje augue ili list iongezeke.
 
38 with 2 deaths vs 14 without death, bado kuna mijitu inasema Tanzania itakuja kuziponza nchi zingine, tukisema akili zenu ni Kama za kuku tutakua tumekosea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu za corona jomba achaneni nazo, manake naona mmezipa kipaumbele sana ili kuleta mashindano yasiyokuwa na tija...

Mamabo mengine sawa, lkn hili la corona itabidi nimekaa kimya hku nikifuata maelezo kutoka kwa madaktari nikichanganaya na maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona mnaumbuka kihivyo, mna mazoea mabaya sana.
Mazoea wapi, ni kuna mgonjwa mkaidi na mamlaka hazijui. That's that, ila unavojikuta perfectionist, wakati Kenya Kuna yule nani sijui nae aligoma kupimwa ameambukiza watu, ila nobody said mnaficha, tena nyinyi ndio mnaficha, juzi citizen tv wakamhoji mwana fa hospitalini Tz, wakamhoji tena mgonjwa mkenya yupo US.
Wananchi wenu wanacomment kulikoni mnaficha wagonjwa wenu kuhojiwa.
Ila ulivyo wa ajabu eti unatumia huo Uzi kama bakora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom