Nsaji Mpoki
JF-Expert Member
- Nov 5, 2007
- 396
- 65
Nimekuwa nikitafakari kwa kina na kujiwa na wazo kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa na agenda nyingine maalum ya kuhakikisha wapinga Ufisadi Mara Hii hawaingii bungeni. It was deliberate. Tazama Filikunjombe is no more. Sendeka, Kafulila, Kilango, Lembeli, Mtemvu, Wenje, Baruani, Mkosamali na Machali sasa watakuwa watazamaji.