Mapambano dhidi ya udikteta yataendelea

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Mapambano dhidi ya udikteta yataendelea ndani ya nchi hii.

Hatutakubali kuona uhuru, vyombo vya habari na kujieleza ukiminywa na watu wachache
Hatutakubali kuona katiba ikivunjwa.

Maana naona kuna mbegu ya udikteta inayomea na watu fulani kujifanya miungu watu.

Watanzania hawatoruhusu hayo
tukutane tarehe 26
#26/4/2018
 
404907.jpg

swissme
 
hao unawatetea na kuwaita vyombo vya habari viwe huru vyenyewe vimetulia kimya vimeufyata wewe hata ukeshe kutetea its useless,
 
Mapambano dhidi ya udikteta yataendelea ndani ya nchi hii.

Hatutakubali kuona uhuru, vyombo vya habari na kujieleza ukiminywa na watu wachache
Hatutakubali kuona katiba ikivunjwa.

Maana naona kuna mbegu ya udikteta inayomea na watu fulani kujifanya miungu watu.

Watanzania hawatoruhusu hayo
Freegodblesslema
Tunamtakabenakiwahai
Maneno matupu hayavunji mfupa, watu mnakuja na kauli zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katiba ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!.
Kwa kunisaidia mimi na wengine, ungetueleza utafanya nini au unaweza kufanya nini?, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".

Paskali
 
maskini pasko alishanunuliwa ona alichopost hapo juu
 
Maneno matupu hayavunji mfupa, watu mnakuja na kauli zenye maneno makali kama hizi kauli za "hatukubali kuona katibastante ikivunjwa" as if katiba ikivunjwa kuna kitu mna uwezo wa kufanya, wakati kiukweli katiba kila siku inavunjwa bila kufanywa lolote kwa sababu hamna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kubweka tuu!.
Kwa kunisaidia mimi na wengine, ungetueleza utafanya nini au unaweza kufanya nini?, vinginevyo na bandiko hili ni muendelezo wa mabandiko mengi ambayo mimi nayaita mabandiko ya
" a barking dog seldom bite!".

Paskali
Mkuu unachochea vurugu kwa njia ya kisayansi
 
Hatujawahi ona revolution ya weusi ikafanikiwa. Uoga, unafki, usaliti na shortmindedness ndio zetu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom