Mapambano dhidi ya corona: Uingereza yazuia watu kutoka mataifa 33 kuingia Uingereza kuanzia February 15 na watanzania wakiwemo

Mkuu ukishatoka kifungoni utanihadithia kisa cha kupigwa hii BAN , kiukweli kukukosa wewe humu jf hata kwa siku 3 ni hasara kubwa sana kwa dunia
 
Tanzania inaonekana kenye travel ban za Dunia nzima,sijui safari hii bombardier ikikamatwa kule Canada nani atakwenda na pesa cash kuikomboa maana Kaboud amaishakuwa blacklisted na nchi za dunia ya kwanza
Hii nchi Rais ajae atapata tabu sana. Kibwengo ni kivuruge hasa.
 
Back
Top Bottom