Mapambano dhidi ya corona si ya copy & paste: kisayansi bado mengi hayajajulikana 100% kuhusu gonjwa hili

Kuna tofauti ya Dokta ama mhudumu wa afya ambaye ana anahangaika in full contact na hicho kirusi kwa masaa nane ama zaidi kulinganisha na mmachinga aliye pisha na muathirika aliyepiga chafya ama kumuulizia bei ya nguo kwa sekunde 30.
"You can Run through the fire without geting burnt but you can not sit on a fire and not expect to be burnt even when wearing protective suit".

Tuwaombee Watumishi wa Afya maana katika hili wao ndio wanajeshi wetu na nikupitia kujitoa kwao na support yetu ya kufuata maelekezo yao tutapona. Mungu awape Tuzo kwa sadaka za Maisha Yao kwa ajili ya Humanity.
 
Back
Top Bottom