Mapalala James upo wapi mzee wangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapalala James upo wapi mzee wangu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by FUSO, Mar 29, 2011.

 1. F

  FUSO JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  Jf,

  Jina James Mapalala ni kubwa sana, ni mmoja ya waasisi wa upinzani hapa Tanzania. kinachonisikitisha mimi hivi huyu mzee aliwakosea nini CUF? sina uhakika kwa sasa yupo wapi ila hali yake kiuchumi na kiafya si nzuri, juzi juzi tu nyumba yake ya hapa morroco ikapigwa mnada.

  Je CUF hamna utaratibu wa kuwaenzi waasisi wenu? je alikosa nini ndani ya chama hadi mmsahau kiasi hiki? Wengine wanasema James aliuza chama kwa hisa zote 100% kwa kina Seif.

  Ufafanuzi tafadhali.
   
Loading...