Mapaja wazi hapa Port View

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Kwa wale wateja wanaopata menyu mchana hapa Port View Pub kwenye mzunguko wa kuelekea Bandarini, mmeona wapo mabinti wameajiriwa kujifungua nguo? Wanaweka mapaja nje na kuwaangalia wateja wanapingia na baadhi wanakimbilia wateja kuwapa maelezo ya chakula. Mabinti wadogo wanatumika kutengeneza biashara hapa.
Mambo ya mujini Dari Salamaa. Chukua tahadhali.
 
Nakuja sasa hivi,ukiona liVX kilimo kwanza jua bishanga kaingiza timu.
 
Kwa wale wateja wanaopata menyu mchana hapa Port View Pub kwenye mzunguko wa kuelekea Bandarini, mmeona wapo mabinti wameajiriwa kujifungua nguo? Wanaweka mapaja nje na kuwaangalia wateja wanapingia na baadhi wanakimbilia wateja kuwapa maelezo ya chakula. Mabinti wadogo wanatumika kutengeneza biashara hapa.
Mambo ya mujini Dari Salamaa. Chukua tahadhali.

pole sana mkuu ukubwa jiwe huo mitego ya mujini..
 
Kumbe mapaja yana uwezo wa kuvutia wateja! Sikua najua hili. Nina kaduka kangu kamedorora, ngoja nichinje kuku nitundike mapaja yote mawili juu ya mlango wa kuingia dukani! Kumbe mambo ni rahisi hivyo jamani!
 
ukiweka hayo mapaja duka litadorora x2
ngoja nije nikueleze ni mapaja gani ngoshwe anamaanisha
 
Last edited by a moderator:
hapo lazima wazee wa bandari wapatikane.
Na walivokuwa waroho usipime
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom