Mapadri watatu wa Kanisa Katoliki jimbo la Same, wamefariki dunia ndani ya saa 72

Wanachanganyika tu, ukienda misioni za zamani utakuta kuna makaburi ya waumini na pia ya mapadre. Ila kwa vile kanisa lina maeneo makubwa kutenga eneo moja kwa ajili ya makaburi siyo vibaya.
Kwa nn lakini kuwe Na mipaka sisi Na viongoz wetu hata katika mapumziko ya milele?
 
Dhaaaaaaaa roho za marehem zpunzke
Kwa Aman

Inahuzunisha sana
 
Back
Top Bottom