Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau
Jumla ya Mapadri 48 wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam wameandika barua kujiondoa chini ya ulezi wa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dk Jacob Chimeledya kwa madai ya kukosa imani naye. Aidha Mapadri hao wameamua kutoshiriki wala kujihusisha kwa namna yoyote kwenye mchakato wa kumpata Askofu wa awamu ya tano wa Dayosisi hiyo.
Source: MCL