Mapadri 48 wajiondoa chini ya ulezi wa Askofu Mkuu wa Anglikana

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Jumla ya Mapadri 48 wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam wameandika barua kujiondoa chini ya ulezi wa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dk Jacob Chimeledya kwa madai ya kukosa imani naye. Aidha Mapadri hao wameamua kutoshiriki wala kujihusisha kwa namna yoyote kwenye mchakato wa kumpata Askofu wa awamu ya tano wa Dayosisi hiyo.
Source: MCL
 
hahaha ngoja nitarudi au jamaa na yeye wanamuingizia? maana hili kanisa linaruhusu ufirauni
 
Ili kanisa lina matatizo,tangu waruhusu askofu shoga kutawazwa imekuwa shida kila siku.
 
Ooh aisee SIKUWAHI KUJUA KAMA KANISA ANGLICAN WANAO MAPADRI,LEO NIMEFAHAMU.
 
Eti mapadrii sema makanjanja tu na huyo askofu wao! Wacha NISADIKI IMANI MOJA KANISA KATOLIKI LA MITUME
 
hao nao wana mambo siyo mchezo kuna sehemu huko nyasa nilikuta wanasali misa mbili ya wanaompinga askofu na wanaomkubali askofu.
 
Kungekuwa na uwezekano wa kununua kanisa kama ilivyonunuliwa Simba, basi KKKT tungeomba kulinunua kanisa la Anglican ili tulilee...
 
Back
Top Bottom