East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 989
Nikijaribu kuwaangalia hawa wanasiasa wawili vijana yaani; NAPE na ZITTO naona kama wanafanana kwa upande fulani;
mfano; Tuanze na Nape huyu amekuwa akikosoa viongozi wake katika chama kwa kujitafutia umaarufu fulani,
1. Kabla hajapewa ukuu wa wilaya alipinga sana rushwa katika jengo la Vijana na mwisho wake hatujui aliishia wapi. na hatukuwahi kumsikia tena akilizungumzia hadi leo.
2. Mpango wa kujivua gamba aliukomalia kama kwamba hili swala ni lake bila kujua msimamo wa mkiti wake wa chama kama ilikuwa ni kweli kuvua gamba au alisema tu kama msemo wa kawaida.
3. Hivi punde kaja na ishu ya mawaziri mizigo jamaa kakomaa hadi tukasema huyu dogo anajiamini nini. Kumbe ni nguvu za soda na leo anakuja na vioja vya aina yake.
Upande wa Zitto naye ndo kaja na mambo mengi yasiyokuwa na mwisho bila kushirikiana na viongozi wenzake;
1. Ishu ya Buzwagi imeisha juujuu.
2. Ishu ya Richmond haieleweki
3. Mafedha ya Uswis ni sound tuu
4. Mahesabu ya vyama vya siasa haijulikani alitoka nayo wapi.
Mwisho naona hawa wanasiasa ni watu wa kujikweza sana mbele za watu waonekane wao katika chama ni zaidi ya watu wengine.
Karibuni mchangie kukubali au kukanusha.