mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
Wadau habarini ya majukum ya hapa na pale, jamani nimekuwa nikipatwa na wivu sana nikiona rafiki zangu wakiwa na watoto wao mapacha, hivi kuna njia yeyote ya kuweza kupata watoto mapacha au ni bahati tu kuwapata, kama inawezekana naombeni mnipe elimu ya hili jambo kwa wale wanaofaham