johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,526
- 141,323
- Thread starter
- #21
Una uhakika manka?!Huyo doto ni ndugu na mheshimiwa raia number 1?
Una uhakika manka?!Huyo doto ni ndugu na mheshimiwa raia number 1?
Nimeuliza tu maana hyo mikaganyiko ya watu imeni confuseUna uhakika manka?!
Ndio,ni watoto wa Dada kama yule wa Kawe.Huyo doto ni ndugu na mheshimiwa raia number 1?
Utapata " Furaha" zamu hii!Mapacha wa CHADEMA wanapendeza sana. Mungu awajalie waingie bungeni kwa pamoja.
CHADEMA wanajitambua, Mbona Kafulira kashindwa kumuungisha mkono Kishua??Akina Biteko wawaowe hao alafu wawaungishe juhudi mkono juhudi kwisha kazi.
Wengine wanabaki kwa kazi maalum.CHADEMA wanajitambua, Mbona Kafulira kashindwa kumuungisha mkono Kishua??
Yule binti wa Boss Bashiru Bbt Paulina Gekur aliye saliti CDM kaangukia pua!!
Hii ni ishara nzuri sana kwa CHADEMA kutakuwa na kura nyingi za kushangaza, double double kwa CDM mwaka huu. Karibu Lissu uongoze mapambano dhidi ya udhalimu.Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe.
Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo kwa kuwa CCM ni chama Dume hakuna tatizo, kitaelewka mjengoni.
Maendeleo hayana vyama!View attachment 1514790
Yes...watoto wa dadaHuyo doto ni ndugu na mheshimiwa raia number 1?
EwaaaNdio,ni watoto wa Dada kama yule wa Kawe.
Nimeuliza tu maana hyo mikaganyiko ya watu imeni confuse
Acha maneno ya uchochezi.Wengine wanabaki kwa kazi maalum.
pumzi ipo ya kutosha.kura za maoni ndani ya CCM zilisimamisha nchi.macho yote kodo.Acha maneno ya uchochezi.
Mmeishiwa pumzi mnaanza kubambika watu tuhuma za hovyo hovyo!!
SARE ZA CHADEMA NI MOTO. ILA HAYA MALAPULAPU YA CCM HUWA SIYAELEWI HATA KIDOGO. HAYANA MVUTO KABISA! KILA ANAYEVAA ANAONEKANA ANA MIAKA ISIYOPUNGUA 70Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe.
Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo kwa kuwa CCM ni chama Dume hakuna tatizo, kitaelewka mjengoni.
Maendeleo hayana vyama!View attachment 1514790
Aisee hongera wahenga walinena charity begins at home, huwezi acha wa nyumbani ka wako vizuriNdio,ni watoto wa Dada kama yule wa Kawe.
Hongera kwaoYes...watoto wa dada