Mapacha tisa waliozaliwa na Halima Cisse nchini Morocco. Baada ya kuishi ICU kwa zaidi ya miezi 5 wakipatiwa usaidizi wa karibu, sasa wamekomaa

Hapana, mwanaume anamwaga mbegu tu, via vya mwanamke ndio ama vinatoa yai moja au kujigawa ili kutoa idadi ya kitakachozaliwa. Na zaidi mwanamke ndie anayebeba mimba na kujifungua, hivyo sifa iko kwake zaidi.
haya mkuu, kwa hiyo sisi hatuna chetu..
 
Hii ni picha ya pamoja ya mapacha 9 waliozaliwa may 5 na Halima Cisse nchini Morocco. Baada ya kuishi ICU za watoto kwa miezi 5 wakipatiwa usaidizi wa karibu, sasa wamekomaa.

Halima Cisse anashikilia rekodi ya dunia ya kuzaa watoto wengi zaidi kwa wakati mmoja.

View attachment 1983965View attachment 1983967

📸Daily Mail
Ingekuwa TZ tungeomba afungue account ya kusaidiwa pesa. Hapo msaada lazima hata kama anafanya kazi. Huko ukaya hakuna mashirika yanayosaidia watoto jama hao gata kama ipo Africa.
Ukipita misikiti yote ya morocco atapata pesa ya kuwalea tu.
 
Hilo tumbo sijui ilikuwaje tu!

Hivi inawezekana mayai yakakomaa tisa kwa mpigo naturally au alitumia fertiluty drug?
Sky Eclat
 
Ingekuwa TZ tungeomba afungue account ya kusaidiwa pesa. Hapo msaada lazima hata kama anafanya kazi. Huko ukaya hakuna mashirika yanayosaidia watoto jama hao gata kama ipo Africa.
Ukipita misikiti yote ya morocco atapata pesa ya kuwalea tu.
Serikali ya Mali inalipa gharama kwa asilimia 100.
 
Back
Top Bottom