Ch8na: Maonesho ya sanaa za historia ya CPC yafanyika

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,034
Maonyesho ya kuonyesha sanaa za historia ya CPC yafanyika

Maonyesho ya sanaa za historia ya Chama cha Kikomunisti cha China yamefanyika kwenye Jumba la Kumbukumbu la Kitaifa la China.

Kwenye maonesho hayo kuna michoro mbalimbali na kwa jumla yanaonyesha kazi za sanaa 100 za asili katika aina nyingi, kama vile uchoraji wa jadi wa Wachina, uchoraji wa mafuta, na sanamu zinazoeleza historia ya CPC, China Mpya, mageuzi na maendeleo ya ujamaa.

Miongoni mwa sanaa zenye historia muhimu hakwenye maonesho hayo ni kama vile mchoro wa Safari ya Mao Zedong kwenda Shaanxi Kaskazini.

Maonesho haya yamepangwa kwa pamoja na Shrika Kuu la Utangazaji la China CMG na Jumba la Kumbukumbu la Kitaifa la China, ambayo yataendelea hadi Julai 25.

1625886859325.png
1625886870326.png
1625886885432.png
 
Back
Top Bottom