Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba yafana sana. Kwa mara ya kwanza wafanyabiashara Wahindi wengi wa Tanzania wahudhuria, wanunua sana

Nenda katembelee uone mwamko wa wahindi Jana na Leo weekend umekuwa mkubwa mno weekend zao wamehamishia maonyesho ya sabasaba wao na familia zao yaani weekend hii Jana na Leo unakuta vizee vya kihindi vinatembea Hadi na mikongojo vimefurahi mno kwa out vilivyopewa

Wanawake na watoto wa kihindi yaani Kika kona hawafichi furaha Yao .

Sijawahi ona kitu kama hiki miaka yote kwenye maonyesho ya kimataifa ya sabasaba Dar es salaam Raisi Magufuli ana nyota ya kipekee

Kuna umati wa wahindi hasa
Yaani unamaanisha nini

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom