kitalolo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 1,827
- 708
Naona chama cha upinzani kuchukua madaraka kabla ya 2015 sijajua hasa nini nafunuliwa lakini naona kuna uwezekano mkubwa wa chama kimoja cha upinzani kuongoza nchi kabla ya uchaguzi mnaousubiri wa 2015 maono niliyoyaona ndivyo yanavxonionyesha pamoja na mambo mengine nitakayoyafunua baadae.