MAONO YANGU.Vita vya madawa ya kulevya vitaisha pale chakula kitakapo shuka bei.

Baraka sheni

JF-Expert Member
Jan 5, 2015
471
197
Kwa mfatiliaji mzuri wa hoja utagundua kuwa kuna hoja zinazo zuka bila kuwa na mwelekeo.
Mfano. Wakati wa eskro walipo ona hela zinawatoa povu wakaanzisha hoja eti kuna homa ya dengu na kweli wakafanikiwa. Maswali ya kujiuliza DENGU NI NINI? ILITOKA WAPI ? NA ILIISHIA WAPI?
Leo hii KWANZA HUNA MWENYE RUHUSA YA KUTANGAZA KUWA TZ KUNA NJAA ILA ANAE JUA NI MWENYE NCHI KWANINI ALISEMA HIVYO? ZITTO ALISIMAMA NA KUSEMA HUYU ATAKUWA DIKTETA WATU WAJASEMA OOH ANAMWONEA LEO HII UNGA kg1 =2000 unaambiwa HADI MWENYE NCHI ASEME YEYE JE KWELI NI HAKI?

HII HOJA YA MADAWA NI PROPAGANDA TU HIVI INAWEZEJANAJE MADAWA YAWE NA NGUVU KULIKO NJAA?
JE MDA WOTE WALIKUWA WAPI HADI WSIBUE HOJA WAKATI HUU?
JE MADAWA HAYAKUWEPO AU?
Siasa za kibongo nyingi ni propaganda bora kuachana nazo.
 
Back
Top Bottom