Maono yangu kutokana na thread za kushambulia viongozi wakuu wa CHADEMA

Kiswahili chako cha kuungaunga
lakini umetoa ushauri mzuri sana
kwa hawa ndugu zetu wa chadema.


toka mchakato wa kampeni kuanza arumeru mashariki kumetokea na kushambulia. Sana kwa cdm kwanza ilianza
1.mchakato wa arumeru john mrema katumia mil 16 nakumbuka uzi huu uliletwa na tuntatemeke sijui kama sijakosoa akawa anahoji kwann chama kitumie pesa nyingi hivyo majibu yalitolewa na wapo baadh ya viongozi wa cdm walivua nguo humo ndani
2.ya pili ikaja kwann mnyika anajilimbikiza vyeo vikaonyeshwa vyeo kama kumi
zitto kabwe akaja hapa akaonyesha vyeo vingi vya mnyika ni vya bla malipo
swali hivi ni kweli cdm wambakishishe mnyika cheo kimoja tu may be cha ubunge hivyo vingine watangaze ajira je nani atawalipa????hao vijana
kitila mkumbo nae akaweka maneno yake hapo
3.ni kuhusu ufisadi wa cdm
kwanza mboye kachukua pesa za sabodo kanunua nyumba dubai pesa yenyewe tunaambia ni milioni 300 kweli kabisa hivi dar hapa kariakoo nyumba tu ni had bilion 1
mboye huyo huyo kachukua pesa za chama kukarabati billicans mungu wangu billicans ni moja ya club kwonge hapa nchini
tukiongolea hesabu ya siku mbili ijumaa na jumamosi siku clubu inajaza haikosi watu 3000 ndani kwa kiingilio cha 10000 ni sawa 30 milioni mara mbili 60 milion hujaweka viwanyaji
sawa billicans inaanza toka jumatano hadi jumapili kweli kabisa tuntamenke

ikaja ishu ya dr slaa na mchumba wake josephine kutumia vibaya ela za chama kwenda arusha kulipia hoteli ya 280000 kwa kesi yangu kwa kiongozi kama slaa mwenye maadui wing anahitaji ulinzi na dr slaa alikuja akasema ndo walilaa kwenye hyo hoteli ya thaman hyo
swali kwa tuntamenke je ww ulitaka akalale kwenye hoteli ya bei gani ya laki moja ambaye mtu kama sina hata ajira naweza kwenda
je hiyo hoteli kuna ulinzi wa kutosha????

Mama josephine kajilipa milioni 10 baada kuaandaa program na kusimamia mfumo ya fedha well let me tell u mimi nasomea computer science eng hiyo milioni 10 ni ndogo sana hata kama ni kweli alijilipa na sio kujitolea
kuanda system ya mfumo wa kusimamia fedha unatakiwa uwe na hivi vitu
1.database iwe oracle/mysql zote zinauzwa
oracle ni bei sana
mysql unaweza kupata kwa dola 5000
2.uwe na software nyingne za kusupport database yako

my take
1.inaelekea kuna conflict of interest kati ya dr slaa na tuntamenke
2.inaelekea kuana mtu alifukuza kazi kitengo cha pesa kaamua jinsi ya kutokea

maoni yangu kwa uongozi wa cdm na dr slaa
1.muwe tayari kukosolewa na yoyote na muwe tayar kuyatolea ufafanuzi
2.hayo malamiko kwa mama josephine sijui kuwakaripia madereva hadi wengne wanataka kuacha kazi iwe challange kwa mama kama ni kweli abadilike hakuna aliye sawa
3.muwe makini kuna mapandikizi wengi kutoka ccm
4.mjue mtu katokea wapi historia yake before hamjamuamini kumpa uongozi

maoni kuhusu kuelekea 2015
1.vijana weng sana watagombea kupitia cdm muwe makini anzeni kuandaa timu now na kujua historia za watu wenu before hamjawasimamisha kugombea
2.vijana wengi wana tamaa tuwe nao makini tusije kushangaa haya tunayo yapigia kelele mkapa fisadi hawa vijana wetu wakaja kuwa mafisadi kuliko mkapa
3.ni wakati wa kujipanga kufika kijijini zaidi sijasikia mkienda haya maeneo nataka mfike
1.mtwara
2.lindi
3.tanga japo kina zitoo walifika kwenye mkonge mrudi tena
4.dodoma + morogoro
rip regia na imani huyu angechukua kilombero 2015 sasa muandaeni mwingne awe anakwenda jimboni kuendeleza mema na regia .
5.wakina mama wa cdm mmekuwa kama mnafuata mishahara tu bungeni nataka kuwasikia zaidi kwenye vikundi za kina mama
halima mdee hebu waamshe kina mam wa dar jaman


hitimisho:nawaza 2015 nikifika salama nitasimama rombo mungu aniongoze
 
Kamanda uloandika hii post nakupa bigup sana especialy hapo uliposema wawe makini na vijana watakaojitokeza kugombea kupitia CDM 2015 inapswa waje wafatiliwe ili wasije kuwa ni mamluki, unaonekana ni kamanda mpiganaji basi nakupa shavu pa1 ktk mapambano utakayoyafanya Rombo kuanzisha moto mwingine wa kutetea wa2 wako na chama chako makini.
 
Kamanda uloandika hii post nakupa bigup sana especialy hapo uliposema wawe makini na vijana watakaojitokeza kugombea kupitia CDM 2015 inapswa waje wafatiliwe ili wasije kuwa ni mamluki, unaonekana ni kamanda mpiganaji basi nakupa shavu pa1 ktk mapambano utakayoyafanya Rombo kuanzisha moto mwingine wa kutetea wa2 wako na chama chako makini.

Pamoja sana kamanda
 
MAJANIKV nimekuadmire the way ulivyowakilisha, nimevuta hisia za kuanza kufatilia thread zako kama vipi 2015, pamoja mkuu hapo Rombo kuhakikisha unayasemea haya mjengoni na mengine mengi.
 
ikisemwa huwa ina mawili watu kuamini na wengine kupuuzia

watu wakiamini kuna mawili baada ya utetezi

kuamini utetezi
au kutoamini kabisa utetezi

its human its normal

mimi naamini Slaa siyo msafi
 
Mtu mwenye uadui na slaa ni kumuonea tu babu wa watu.
Mwacheni apumzike afya yake si njema sana
OTIS
 
Toka mchakato wa kampeni kuanza arumeru mashariki kumetokea na kushambulia. Sana kwa CDM kwanza ilianza
1.Mchakato wa arumeru john mrema katumia mil 16 nakumbuka uzi huu uliletwa na tuntatemeke sijui kama sijakosoa akawa anahoji kwann chama kitumie pesa nyingi hivyo majibu yalitolewa na wapo baadh ya viongozi wa cdm walivua nguo humo ndani
2.Ya pili ikaja kwann Mnyika anajilimbikiza vyeo vikaonyeshwa vyeo kama kumi
Zitto kabwe akaja hapa akaonyesha vyeo vingi vya mnyika ni vya bla malipo
Swali hivi ni kweli CDM wambakishishe Mnyika cheo kimoja tu may be cha ubunge hivyo vingine watangaze ajira je nani atawalipa????hao vijana
Kitila mkumbo nae akaweka maneno yake hapo
3.Ni kuhusu ufisadi wa CDM
Kwanza Mboye kachukua pesa za SABODO kanunua nyumba DUBAI pesa yenyewe tunaambia ni milioni 300 kweli kabisa hivi dar hapa kariakoo nyumba tu ni had bilion 1
Mboye huyo huyo kachukua pesa za chama kukarabati billicans Mungu wangu billicans ni moja ya club kwonge hapa nchini
Tukiongolea hesabu ya siku mbili ijumaa na jumamosi siku clubu inajaza haikosi watu 3000 ndani kwa kiingilio cha 10000 ni sawa 30 milioni mara mbili 60 milion hujaweka viwanyaji
Sawa billicans inaanza toka jumatano hadi jumapili kweli kabisa tuntamenke

Ikaja ishu ya Dr slaa na mchumba wake josephine kutumia vibaya ela za chama kwenda Arusha kulipia hoteli ya 280000 kwa kesi yangu kwa kiongozi kama Slaa mwenye maadui wing anahitaji ulinzi na dr slaa alikuja akasema ndo walilaa kwenye hyo hoteli ya thaman hyo
Swali kwa tuntamenke je ww ulitaka akalale kwenye hoteli ya bei gani ya laki moja ambaye mtu kama sina hata ajira naweza kwenda
Je hiyo hoteli kuna ulinzi wa kutosha????

Mama josephine kajilipa milioni 10 baada kuaandaa program na kusimamia mfumo ya fedha well let me tell u mimi nasomea computer science eng hiyo milioni 10 ni ndogo sana hata kama ni kweli alijilipa na sio kujitolea
Kuanda system ya mfumo wa kusimamia fedha unatakiwa uwe na hivi vitu
1.Database iwe Oracle/Mysql zote zinauzwa
Oracle ni bei sana
Mysql unaweza kupata kwa dola 5000
2.Uwe na software nyingne za kusupport database yako

My take
1.Inaelekea kuna Conflict of interest kati ya DR slaa na Tuntamenke
2.Inaelekea kuana mtu alifukuza kazi kitengo cha pesa kaamua jinsi ya kutokea

Maoni yangu kwa uongozi wa CDM na dr slaa
1.Muwe tayari kukosolewa na yoyote na muwe tayar kuyatolea ufafanuzi
2.Hayo malamiko kwa mama josephine sijui kuwakaripia madereva hadi wengne wanataka kuacha kazi iwe challange kwa mama kama ni kweli abadilike hakuna aliye sawa
3.Muwe makini kuna mapandikizi wengi kutoka CCM
4.Mjue mtu katokea wapi historia yake before hamjamuamini kumpa uongozi

Maoni kuhusu kuelekea 2015
1.Vijana weng sana watagombea kupitia CDM muwe makini anzeni kuandaa timu now na kujua historia za watu wenu before hamjawasimamisha kugombea
2.Vijana wengi wana tamaa tuwe nao makini tusije kushangaa haya tunayo yapigia kelele mkapa fisadi hawa vijana wetu wakaja kuwa mafisadi kuliko mkapa
3.Ni wakati wa kujipanga kufika kijijini zaidi sijasikia mkienda haya maeneo nataka mfike
1.Mtwara
2.Lindi
3.Tanga japo kina zitoo walifika kwenye mkonge mrudi tena
4.Dodoma + morogoro
Rip regia na imani huyu angechukua kilombero 2015 sasa muandaeni mwingne awe anakwenda jimboni kuendeleza mema na regia .
5.Wakina mama wa CDM mmekuwa kama mnafuata mishahara tu bungeni nataka kuwasikia zaidi kwenye vikundi za kina mama
Halima mdee hebu waamshe kina mam wa dar jaman


Hitimisho:nawaza 2015 nikifika salama nitasimama ROMBO mungu aniongoze

Nikupongeze tu kwa kutambua kuwa Viongozi wako hawashauriki na kuamua kuwaasa wabadilike. Lakni kwa upande wa kuja kujinadi humu kwamba unasomea Computer science engineering, wewe ni muongo kwa sababu kuu 2:
Wewe ni mwanafunzi na, mkopo unapewa Tsh laki tatu (300, 000/) pesa ya mafunzo kwa vitendo haizidi laki sita (Tsh.600,000/) kwa hiyo nina uhakika kwamba hiyo pesa hutakaa uiguze muda wako wote utakaokuwa masomoni.
Kozi uliodai unasomea inayoitwa Computer Science Engineering haipo hapa Tanzania na kama unabisha taja chuo unachosoma tukafuatililie (kwa kifupi Computer Science na Computer Engineering ni kozi mbili tofauti)
 
ikisemwa huwa ina mawili watu kuamini na wengine kupuuzia

watu wakiamini kuna mawili baada ya utetezi

kuamini utetezi
au kutoamini kabisa utetezi

its human its normal

mimi naamini Slaa siyo msafi

Hawezi kuwa msafi hata ukifungua kiwanda kwa ajili ya kutengeneza sabuni maalum ya kumsafisha. Huwezi kuasi kuwa mtumishi wa Mungu tena wa ngazi ya juu kabisa, mbaya kabisa badala ya kjutia thambi hiyo unaenda mbali kuharibu ndoa za watu , jambo ambalo ulilikemea wakati wa utumishi wako. Tamaa hiyo hiyo inamfanya sasa aingie katika majaribu ya kumfurahisha mwenzi wake kwa kutumia vibaya ofisi huku akitoa majibu malaini kama mlenda "MWENYE USHAHIDI NA AENDE MAHAKAMANI" Dr. Hayo ni matunda ya SHETANI, nadhani wewe umesoma vizuri chuo kidogo cha SALA pamoja na KATEKEISM YETU kama siyo biblia. KIBURI, MAJIVUNO, WIZI, UZINZI mangine mengi ni kinyume kabisa na matunda ya roho Mtakatifu. Ni lazima SLAA awe na majibu ya kuridhisha kuonesha kuwa yeye ni tofauti kabisa na watu wa Mataifa, na akishindwa katika hilo yeye atakuwa hafai kabisa na kuwepo unafuu kwa wale ambao hawakupata kupitia nafasi aliyopitia na LAANA yake itajidhihirsha endapo hatakuwa tayari kujishusha na kuelezea bayana tuhuma zinazomkabili.
 
Hawezi kuwa msafi hata ukifungua kiwanda kwa ajili ya kutengeneza sabuni maalum ya kumsafisha. Huwezi kuasi kuwa mtumishi wa Mungu tena wa ngazi ya juu kabisa, mbaya kabisa badala ya kjutia thambi hiyo unaenda mbali kuharibu ndoa za watu , jambo ambalo ulilikemea wakati wa utumishi wako. Tamaa hiyo hiyo inamfanya sasa aingie katika majaribu ya kumfurahisha mwenzi wake kwa kutumia vibaya ofisi huku akitoa majibu malaini kama mlenda "MWENYE USHAHIDI NA AENDE MAHAKAMANI" Dr. Hayo ni matunda ya SHETANI, nadhani wewe umesoma vizuri chuo kidogo cha SALA pamoja na KATEKEISM YETU kama siyo biblia. KIBURI, MAJIVUNO, WIZI, UZINZI mangine mengi ni kinyume kabisa na matunda ya roho Mtakatifu. Ni lazima SLAA awe na majibu ya kuridhisha kuonesha kuwa yeye ni tofauti kabisa na watu wa Mataifa, na akishindwa katika hilo yeye atakuwa hafai kabisa na kuwepo unafuu kwa wale ambao hawakupata kupitia nafasi aliyopitia na LAANA yake itajidhihirsha endapo hatakuwa tayari kujishusha na kuelezea bayana tuhuma zinazomkabili.

f.a.l.a ni f.a.l.a tu kwan hata akikodi chumba guest kwa wiki 1 atataka alime na bustan ya mchicha hapo hapo guest kama vile yupo kwake, so hata ww mwenye hii comment ni f.a.l.a tu.
 
Back
Top Bottom