Huyu Mh. wa Mikumi... nadhani ulikuwa ana maono au alifunuliwa kitu ktk maandiko ya miziki yake... hasa ukisikiliza huu wimbo wake wa Nang'atuka... kuna ujumbe ulio jitoshereza kwa viongozi wetu wa kiafrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.