Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,662
Nimesoma kwa mshtuko taarifa za asubuhi ya leo na kubaki na simanzi juu ya aina ya utawala ambao tunao .....
Rais anapokea tuhuma toka kwa mkuu wa mkoa
Bila kushauriana na Washauri wake wa Usalama aliofuatana nao akiwamo pia WAZIRI WA UTUMISHI aliyekuwa jukwaani...
Rais anawahoji wananchi ..ambao hawajui hili wala lile .." nimtumbue ...nisitumbueee"
Tumbuaaaaaaaa.,"wanajibu"
Stephen Kabwe ....anatumbuliwa
Upande wa Pili ...
STEPHEN kabwe anapigiwa simu....anakikokota kwa sauti ya maumivu kupokea simu ....,anaambiwa katumbuliwa ....., allaaaaa ..anauliza " na nani" ...anaambiwa na rais ,"kwani katamka mwenyewe kwa kinywa chake" ...wanamuambia ndio,"pale pale jukwaani " wanamuambia ndio, "basi sina la kusema siwezi kumjibu"
LAKINI anaelekeza tuhuma kwa Makonda ..." yote hayo yalitokea kabla ya mimi kuhamia hapa DAR" anasema..., "hapa ninapoongea na wewe nipo kitandani nimetoka matibabu ..india , toka Desemba nimeandika barua ya kuomba kustaafu kwa ajili ya ugonjwa " ...."sijajibiwa..lakini niko nyumbani"
sasa swali ...
Makonda hakuwa na taarifa za ugonjwa na liikizo au kustaafu kwa ugonjwa kwa Kabwe?
Waziri wa utumishi ambaye ndie hutoa hata vibali vya kwenda nje ...na anatakiwa kuwa na taarifa za watumishi ...hakulijua hilo...?
Alikuwa hajaipata barua ya kabwe ya kuomba kustaafu ili ajitibie....?
Rais hakuwa na taarifa za kuugua au kuomba kustaafu?
Swali linalobaki kusubiri majibu ...ni pale kabwe anapouliza..
Makonda amenichongea wazi kwa Mh Rais bila kosa lolote...
Je,IKIDHIBITIKA NIMEONEWA ,NITALIPWA FIDIA ????
Natafakari tu......