Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Kuna uwezekano mkubwa wa huyu mheshimiwa mpya kuwa naibu waziri wa afya.
Hii inatokana na mambo mawili au matatu, kwanza kuteuliwa kwake kulionekana kama lazima hivi. Pili mheshimiwa huyu ni daktari kama alivyo mwakyusa. Tatu bado ni kijana na inasemekana Kikwete atawapa vijana kwa wingi this time.
Mwaonaje wana JF?
:thinking::thinking::thinking: