Maono: Dr Hamisi Kingwangwala kuwa naibu waziri -afya.

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Kuna uwezekano mkubwa wa huyu mheshimiwa mpya kuwa naibu waziri wa afya.

Hii inatokana na mambo mawili au matatu, kwanza kuteuliwa kwake kulionekana kama lazima hivi. Pili mheshimiwa huyu ni daktari kama alivyo mwakyusa. Tatu bado ni kijana na inasemekana Kikwete atawapa vijana kwa wingi this time.

Mwaonaje wana JF?

:thinking::thinking::thinking:
 
Kikwete amelazimisha kuwa Rais wa nchi kwa wizi wa kura kwa hiyo siku hizi kila anachokifanya mimi nakosa apetite nacho. Lakini hiyo afadhali, kikwete ameingia madarakani kwa mtandao kwa hiyo wanamtandao bado wanahitaji kulipwa fadhila. Hata apate malaika wawe mawaziri watanzania tusitegemee maisha kuboreka. Yeyote atakayeteuliwa lazima afuate maelekezo kutoka kwa wakubwa hata kama ni nje ya taaluma.

Kizuri watanzania wameanza kuwaadabisha wanasiasa kupitia kura
 
Kigwangwalla mtupu fulani hivi kaja hapa kachemsha kilokoloko, kama hizi ndiyo kampeni zake za kuji drum up sawa, ndiyo siasa zetu hizi.

Vinginevyo kama JK aliweza kuchaguliwa kuwa rais twice, na yeye akawachagua kina Emmanuel Nchimbi, wala sitashangaa huyo Kigwangwalla hata akiwa Waziri Mkuu, nchi yetu bora uongozi na si uongozi bora.
 
Huyo Kingwalangwala ana historia ipi ya leadership? Amewahi kufanya nini before? Ohh! yea nilisahau kumbe vyeo hivi watu hupewa tu
 
Sasa mambo ya udini tuyaweke kando, udini hauna tija kwa taifa letu, kama JK atamchagua huyo Kigwangala iwe kwa udini wake au kwa uwezo wake hiyo ni juu yake na dhamira yake. Sisi hapa JF kama great thinkers mawazo ya udini tuweke kando na tumjadili Kigwangala kama ataweza kuongoza wizara mi binafsi hata wangeweka mpagani ikulu sijali nachoangalia ni utendaji tu na maslahi ya taifa

Ni kweli ni lazima tupige vita udini na tuzungumzie hoja za uwezo wa mtu katika kufanya kazi. Kama nilivyosema huko nyuma kuleta na kuzungumzia udini ni kuendekeza na kuupalilia ushetani kwani matokeo yake ni maafa kwa nchi nzima. Sina namna nyepesi ya kulieleza hilo.
 
Kigangwala aliyekuja hapa na kuanza thread na neno "oyaaaaa" na utumbo mwingine usio na kichwa wala miguu ama mwingine? Ila with Kikwete na CCM chochote kinawezekana. SMH!
 
Kuna uwezekano mkubwa wa huyu mheshimiwa mpya kuwa naibu waziri wa afya.

Hii inatokana na mambo mawili au matatu, kwanza kuteuliwa kwake kulionekana kama lazima hivi. Pili mheshimiwa huyu ni daktari kama alivyo mwakyusa. Tatu bado ni kijana na inasemekana Kikwete atawapa vijana kwa wingi this time.

Mwaonaje wana JF?Unataka sisi tufikirieje? Kama ni wewe Dr au mpambe wake, wala usipate shida, mpelekee JK maombi yako spesho akupe nafasi hiyo. Sidhani kama atakuja hapa kuangalia nani anaongelewa zaidi ili ampe Uwaziri. Njaa zenu zitawaua, kwani mtu ukishakuwa waziri halafu inakuwaje? Cheap popularity, get lost!:A S angry::A S angry:
 
siko hapa kumpigia debe mtu.wamejadiliwa waheshimiwa mbalimbali humu jf kuhusiana na uteuzi wa baraza la mawaziri sijaona kama wanapigiwa debe.main issue ni kujadili kama haya maono yanaweza timia?huyu jamaa anasifa au ni bomu.naamini kikwete huangalia Great thinkers wanasema nini.jadili hoja jamaa yangu acha chuki!
 
Kuna uwezekano mkubwa wa huyu mheshimiwa mpya kuwa naibu waziri wa afya.

Hii inatokana na mambo mawili au matatu, kwanza kuteuliwa kwake kulionekana kama lazima hivi. Pili mheshimiwa huyu ni daktari kama alivyo mwakyusa. Tatu bado ni kijana na inasemekana Kikwete atawapa vijana kwa wingi this time.

Mwaonaje wana JF?

:thinking::thinking::thinking:Alikuwa mshindi wa 3 kura za maoni ya ccm. kati ya kura 17,000 alipata kura 1,500
 
Kuna uwezekano mkubwa wa huyu mheshimiwa mpya kuwa naibu waziri wa afya.

Hii inatokana na mambo mawili au matatu, kwanza kuteuliwa kwake kulionekana kama lazima hivi. Pili mheshimiwa huyu ni daktari kama alivyo mwakyusa. Tatu bado ni kijana na inasemekana Kikwete atawapa vijana kwa wingi this time.

Mwaonaje wana JF?

Huyu nasikia yuko WAMA. Ni mtoto 'MKUBWA' wa mama Salma Kikwete. Si ajabu, mama akisema 'jini linamtaka Kingwalangwala', mzee lazima akubali. Tetesi zinasema alighushi vyeti, na wengine wanasema akili yake ni 'SHAKE WELL BEFORE USE'
 
Kigangwala aliyekuja hapa na kuanza thread na neno "oyaaaaa" na utumbo mwingine usio na kichwa wala miguu ama mwingine? Ila with Kikwete na CCM chochote kinawezekana. SMH!

Mtaalam hapa umenigusa sana,DR Kingwangala hapa JF anatumia ID ipi ?
 
Naamini JK anaweza kumteua Dr Kingangala kuwa naibu wa wizara ya Afya na ustawi wa Jamii.Lakini kufanya hivyo ni tusi kwa wapenda democrasia,ambapo sote tulishuhudia dhuruma kubwa iliyofanywa na Dr Kingwangala kwa kushirikiana na CCM kupora ushindi wa Hussein Bashe kwa kisingizio cha suala tata la uraia wa Hussein Bashe,ambapo hatimaye ilikuja kugundulika kuwa alikuwa raia halali wa nchi hii.
 
Provided that he is a muslim !

Nafikiri tusigikite sana kwenye masuala ya udini,ingawa JK ni muasisi wa udini nchini na hatuta msahau kwa hili.Tusilipe ubaya kwa ubaya,chuki kwa chuki!na wale tusiendelee kushabikia mambo ya udini!!
 
Mtaalam hapa umenigusa sana,DR Kingwangala hapa JF anatumia ID ipi ?
Anatumia HKigwangalla ukienda kwenye hii thread utakuta mambo akiyoyaandika.
https://www.jamiiforums.com/results-matokeo/83756-confirmed-kigwangala-atangazwa-rasmi-mshindi-nzega.html
 
Back
Top Bottom