ebu jimwage elezea mkasa mzima ulivyokuwa! Nashindwa hata kuchangia! manake mi nitakujibu kwamba nimeelewa amekutaka ukamkaa akakupa kadi ya benki na password kisha akanywa sumu mbele yakoinapotokea
kutokuelewana na mtu anayekutaka then akakupa kadi yake ya bank akakupa
password na akajinywea sumu mbele yako,unaelewa nini hapo,hiki ni kisa cha kweli kimenitokea jana
inapotokea
kutokuelewana na mtu anayekutaka then akakupa kadi yake ya bank akakupa
password na akajinywea sumu mbele yako,unaelewa nini hapo,hiki ni kisa cha kweli kimenitokea jana
ebu jimwage elezea mkasa
mzima ulivyokuwa! Nashindwa hata kuchangia! manake mi nitakujibu kwamba
nimeelewa amekutaka ukamkaa akakupa kadi ya benki na password kisha
akanywa sumu mbele yako
inapotokea
kutokuelewana na mtu anayekutaka then akakupa kadi yake ya bank akakupa
password na akajinywea sumu mbele yako,unaelewa nini hapo,hiki ni kisa cha kweli kimenitokea jana
Alikufa baada ya kunywa
sumu? Kama ndiyo Labda alitaka kukuachia urithi wa hela zake za bank
baada ya akili yake kumruka na kama hakufa umepigwa changa la macho,
atakuwa hakunywa sumu halisi kama sumu ila kitu fulani kukutega ujione
eti unakupenda na yuko tayari kufa kwa ajili yako na kukuachia kila
kitu.
Hiyo ni technique ya kipuuzi. Ila kama unampenda we mkubali achana
kumbania na kama humpendi, mapenzi hayalazimishwi na huwezi kuishi na
mtu ambaye moyo wako haujaridhika naye. Mpige chini na sumu zake
feki!!!
walimuwaishia daktari akapewa maziwa so hakufa,mi haya mambo niliyaona kitambo that's why sitaki ukaribu naye
unamsaidia vipi kaunga,nishauri plz
I had one like that,
niliweza kujinasua baada ya kuhama. Nilimpeleka akapata nyumba
tukaifurnish na kumkiss goodbye. Akataka kuacha kazi arudi, nikafanya
kitu kibaya sana kilichompiss off na nafikiri alipata mtoto wa kimbulu
pia.
Anyway case yako sijui ikoje lkn, tafuta ndugu na rafiki zake mkalishe
umwambie uko serious na hutaki mahusiano na psycho like him na kuwa
akijiua poa tu akawahi plot kule. Kwa maelezo zaidi check Uzi Wa
Kongosho points za
Gaijin na wengine uitwao psychopathy.
Acheni kutesa
wenzenu, umeshamuonjesha halafu unataka ku sign-out. Kakolea huyo
endelea kumpa. Na hii mijitu bwana unamtapeli mtu mchana kweupe eti
siwezi kuishi bila wewe-kwani mama yako huyo? kakuzaa? WZI
MTUPU
Duh, kweli mapenzi kizungumkuti, ninayempenda hanipendi, na anayenipenda simpendi!