Maoni yenu kuhusu simu zinazotumika kubrowse internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni yenu kuhusu simu zinazotumika kubrowse internet

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bamutu, Nov 6, 2009.

 1. B

  Bamutu Member

  #1
  Nov 6, 2009
  Joined: Nov 7, 2007
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wandugu,

  Kuna watu wengi walikuwa wakilalamika kuhusu tabu za matumizi ya simu wakati wa kusurf mtandao. Je ni kweli??? Je kwa maoni yako ni kweli kwamba hizo tabu za kuandika email, kusoma habari zinasumbua watumiaji??/

  Embu naomba ujaze hii questionnaire hapo chini tuweze kujua mitazamo ya watu tofauti alafu baada ya kupata majibu ya kutosha nitatoa statistics ili nanyi mfaidi na kujua jinsi gani hapa Dar wanavyojionea kuhusu matumizi ya simu kusurf mtandao!!!

  Bonyeza hapa http://www.eSurveysPro.com/Survey.aspx?id=c836d221-da2d-4ef5-ba44-967b43623b76
   
 2. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Sio tabu, mimi natumia Iphone ya kichina yenye WIFI nai njoi kabisa kusomea Habari mbalili za ulimwengu katika Internet.

  telefoni yenyewe ni hii

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  ina Internet, ina TV, Radio, Wifi, Blue tooth, screen yake kubwa 3.5 inch, touch screen, unaweza kurekodi mazungumzo, kum-block mtu akute telefoni yako kama vile bizi, pia unaweze kuitumia telephone hii kama remote controll ya computer na bei ya telephone hii ni rahisi sana dola 100 tu, nimenunua Dubai, telephone hii ni high quallity, pia unaweza kuload programs za java katika telephone hii kama vile unavyo install program za computer, pia ina camera 5 mp.
   
Loading...