Kwangu hii ndiyo game ilikuwa nzuri sana kwangu kuitazama team zote zilicheza open football. Jambo lililovutia zaidi ni comeback ya Chelsea from kufungwa 4 kwa 1 mpaka kuwa 4 kwa 4.
First half analysis
First half Ajax walitumia vizuri makosa ya mabeki wa Chelsea ikasababisha Abraham kujifunga pamoja na kepa Ajax walipiga shoot on target 1 tu lakini wakifika goalini kwa Chelsea wanakuwa na madhara.
Second half analysis
Kipindi cha pili Chelsea walikuja juu sana na kulishambulia goal la Ajax kwa fujo sana mpaka wakapata goal la 2, hapa ndiyo wakazidi kuwachanganya Ajax na pressure ya mchezo kuwa kubwa kwa Ajax, kitu kilichopelekea kufanya makosa matatu kwenye reaction 1; la kwanza, left back wao kucheza rafu mara mbili, moja nikumchezea rafu Pulisic na akamchezea pia Abraham wakiwa Chelsea wanaenda kuishambulia goal la Ajax. Wakati huu beki wa kati wa Ajax akashika mpira unaoelekea golini ndani ya box na kusabisha Chelsea wapate penalty na ikapigwa kiufundi na Jorginho, huku yule left back akipewa kadi ya njano ya pili na kuwa na red card, na kuna mchezaji mwingine wa Ajax hapo hapo akala red card baada ya kutoa lugha chafu kwa maamuzi.
Chelsea wakazidi kuishambulia goal la Ajax wakapata goal la nne kupitia kijana mdogo James na likawa la 4 lakini pia kuna magoal mawili ya Chelsea yalikataliwa. Kosa kubwa waliofanya Ajax baada ya kushinda goal nne hawaku-defense, na ndiyo iliyopelekea Chelsea kurudisha, na wangefungwa magoal mengi Sana ajax.