Maoni Yangu: Ndoa ni hatari kwa Afya ya Mwanadamu

ndoa yako inapokuwa hoe hai haimaanishi ndoa zote ziko hivyo, we pambana na huo mfupa wako mwenyewe.
 
Reason ya kijinga kuwahi kutokea.
Nilichielewa wewe ndo mpuuzi, ndoa ni mkataba wa maisha unamubalije kuingia na mtu asiyechanguo lako halafu unakuja na complain ulizozalisha kwa ujinga wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ya kizembe kweli hii
Wewe ni mwanamme kweli??
Mbinu zootee ziligoma?? mpaka za kwenda kuchukua restraining order🙄🙄

kwa bahat mbaya sana naweza sema nilifanya maamuz ambayo sio sahihi kabisa maana naishi na mwanamke ambae sijawah kumpenda toka ndani ya moyo wangu zaid ilikuwa tu kuruka nae kupoteza muda ila kwa bahat mbaya akagomea ndan kwangu hapo sikuwa na namna ikabid nikubaliane na matokeo tu na kujikubal tu kuwa nimeoa .
 
Hellow wana jukwaa ,hope wote ni wazima na maandalizi ya sikukuu yamepamba moto ,kikubwa tusherekee kwa aman huu mwisho Wa mwaka unakuwa na majanga mengi.
Nirud kwenye maada wadau,kiukweli Leo naomba niongee ya moyoni na mtazamo wangu juu ya ndoa ,nimekuwa mfuatiliaj sana Wa mada zinazohusu maswala ya ndoa lakin kwa asilimia kubwa nimeona hiyo mijala ni ya kulalamika tu kuhusu ndoa,na mm Leo naungana na walalamikaji maana kiukwel ndoa ni zaid ya kansa kwa mwanadam japo wengine wanazimudu na wanaishi kwa furaha kubwa sana.vijana wenzangu ambao bado hamjaingia kwenye ndoa au mnaotamani kuingia huku jiulizen Mara nyingi sana kabla hamjafanya maamuz ya kujiingiza huku kwenye tanuru la moto mkali,pengine niwaambie mm hapa nilipo Nina miez miwil tu tangia nijiingize kwenye ndoa na kwa bahat mbaya sana naweza sema nilifanya maamuz ambayo sio sahihi kabisa maana naishi na mwanamke ambae sijawah kumpenda toka ndani ya moyo wangu zaid ilikuwa tu kuruka nae kupoteza muda ila kwa bahat mbaya akagomea ndan kwangu hapo sikuwa na namna ikabid nikubaliane na matokeo tu na kujikubal tu kuwa nimeoa .
Sasa tokea nianze maisha na huyu mwanamke sijawah kuwa na furaha hata cku moja yaan nimekuwa MTU Wa kukosa raha ndani hapakalik japo ananiheshim sana na ananipenda sana ila tatizo mm moyo haupo kwake na yeye analijua sana hilo kuwa simpend kabisa toka moyoni mwangu so anachofanya ni kujiamisha kuwa ipo cku ntakuja mpenda ivo ivo lakin kwangu sidhan.
Kwann nasema ndoa ni hatar kwa afya ya sisi vijana hasa kama umeoa bila kupanga au kukurupuka aiseee tegemea maimivu makubwa na msononeko mkubwa Wa maisha ,mbaya zaid ukishaoa tu jua kuna mambo lazima uachane nayo hata kama sio kwa matakwa yako ila hayo mambo yatakuacha ww,yaan unaingizwa kwenye kundi la wazeee,hata madem uliokuwa nao watakukwepa hasa wanaojielewa maana watajua tayal umeoa ila kwa wadangaji hawawez kukuacha kikubwa uwe na pesa tu.
Hitimisho,sitaki nipoteze muda sana ,maisha ninayoyapitia saiz nahis kabisa yatakuja niletea matatizo ya kisaikolojia maana naishi bila aman na nimepanga muda wowote kumwacha huyu mwanamke na kama atagoma mm ntaondoka na kwenda kuanza maisha mengine ya peke angu ,ni bora niishi peke angu ila niwe na aman ya roho,na likifanikiwa hilo naapa sintakaa niwaze tena kuoa ,maisha yangu ntayaishi mm mwenyew had naenda kabur na bahat nzur mungu kanipa watoto wawil si haba wananitosha na hao watoto niliwazaa nikiwa chuon huko so hao wananitosha kabisa ,swala la kuwa na Mke ni swala gumu sana na vijana wengi wameoa ila mateso wanayopitia mungu ndie anajua ,hii ni kwa wanawake na wanaume, nashaur ziwepo ndoa za mikataba aiseee labda hapo ntaweza ,MTU mnapena miez mitatu au sita km mmeridhiana mnarenew,.Mm maisha ntakayoyaish kwa sasa ni kwamba niwe naishi kwangu na mpenz wangu aish kwake kama kusaidiana baadhi ya kaz anakuja na kuondoka sio kuweka kambi jumla,.alaf waliowengi kwenye ndoa wanasalitiana sana na hilo nalijua kwa vitendo ,wake za watu wanagongeka balaa mtani had ukimwangalia mwenye Mke unaishia tu kumwonea huruma sasa hayo maisha mm siyatak kabisa.povu ruksa ,ushaur pia ruksa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahn hao watoto wawili ukiwazalia wap na kivip umeniacha hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
80022434_563382694442098_5584782213598450314_n.jpg
 
n kasheshe
Hellow wana jukwaa

I hope wote ni wazima na maandalizi ya sikukuu yamepamba moto, kikubwa tusherekee kwa amani huu mwisho wa mwaka unakuwa na majanga mengi.

Nirudi kwenye maada wadau, kiukweli leo naomba niongee ya moyoni na mtazamo wangu juu ya ndoa, nimekuwa mfuatiliaji sana wa mada zinazohusu maswala ya ndoa lakini kwa asilimia kubwa nimeona hiyo mijadala ni ya kulalamika tu kuhusu ndoa

Na mm leo naungana na walalamikaji maana kiukwel ndoa ni zaidi ya Kansa kwa mwanadamu japo wengine wanazimudu na wanaishi kwa furaha kubwa sana. Vijana wenzangu ambao bado hamjaingia kwenye ndoa au mnaotamani kuingia huku jiulizeni Mara nyingi sana kabla hamjafanya maamuzi ya kujiingiza huku kwenye tanuru la moto mkali

Pengine niwaambie mimi hapa nilipo nina miezi miwil tu tangia nijiingize kwenye ndoa na kwa bahati mbaya sana naweza sema nilifanya maamuzi ambayo sio sahihi kabisa maana naishi na mwanamke ambae sijawahi kumpenda toka ndani ya moyo wangu zaidi ilikuwa tu kuruka nae kupoteza muda ila kwa bahati mbaya akagomea ndani kwangu hapo sikuwa na namna ikabidi nikubaliane na matokeo tu na kujikubali tu kuwa nimeoa

Sasa tokea nianze maisha na huyu mwanamke sijawahi kuwa na furaha hata siku moja yaani nimekuwa MTU Wa kukosa raha ndani hapakaliki japo ananiheshimu sana na ananipenda sana ila tatizo mim moyo haupo kwake na yeye analijua sana hilo kuwa simpendi kabisa toka moyoni mwangu so anachofanya ni kujiamisha kuwa ipo cku ntakuja mpenda hivyo hivyo lakin kwangu sidhani.

Kwanini nasema ndoa ni hatar kwa afya ya sisi vijana hasa kama umeoa bila kupanga au kukurupuka aiseee tegemea maimivu makubwa na msononeko mkubwa Wa maisha, mbaya zaidi ukishaoa tu jua kuna mambo lazima uachane nayo hata kama sio kwa matakwa yako ila hayo mambo yatakuacha wewe yaan unaingizwa kwenye kundi la wazeee hata madem uliokuwa nao watakukwepa hasa wanaojielewa maana watajua tayal umeoa ila kwa wadangaji hawawez kukuacha kikubwa uwe na pesa tu.

Hitimisho,sitaki nipoteze muda sana maisha ninayoyapitia saa hizi nahisi kabisa yatakuja niletea matatizo ya kisaikolojia maana naishi bila amani na nimepanga muda wowote kumwacha huyu mwanamke na kama atagoma mimi ntaondoka na kwenda kuanza maisha mengine ya peke yangu

Ni bora niishi peke yangu ila niwe na aman ya roho, na likifanikiwa hilo naapa sintakaa niwaze tena kuoa maisha yangu nitayaishi mm mwenyewe hadi naenda kaburi na bahati nzuri Mungu kanipa watoto wawil si haba wananitosha na hao watoto niliwazaa nikiwa chuon huko so hao wananitosha kabisa

Suala la kuwa na Mke ni suala gumu sana na vijana wengi wameoa ila mateso wanayopitia Mungu ndie anajua hii ni kwa Wanawake na Wanaume, nashaur ziwepo ndoa za mikataba aisee labda hapo nItaweza MTU mnapeana miezi mitatu au sita kama mmeridhiana mnarenew

Mimi maisha nitakayoyaish kwa sasa ni kwamba niwe naishi kwangu na mpenzi wangu aish kwake kama kusaidiana baadhi ya kazi anakuja na kuondoka sio kuweka kambi jumla halafu waliowengi kwenye ndoa wanasalitiana sana na hilo nalijua kwa vitendo wake za watu wanagongeka balaa mtani had ukimwangalia mwenye

Mke unaishia tu kumwonea huruma sasa hayo maisha mm siyataki kabisa povu ruksa ushaur pia ruksa.
 
Kwa maelezo yako inaonyesha kuwa mwenye matatizo ni wewe mtoa mada. Tena umepata mke mzuri sana, achepuki na anajitahidi kukuvumilia huku akijua humpendi. Mimi ningebahatika kuoa mke wa hivyo mbona ningenenepa na kitambi juu.
 
Back
Top Bottom