Maoni yangu kwenye mechi ya Yanga na USM Alger

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kila nikifunga macho yangu sioni chochote kabisa ila ninaomba tu timu yetu.

Wawe makini Na mipira ya juu maana USM Alger ni wazuri zaidi kwenye mipira ya juu

Jinsi ya kucheza Na watu kama Hawa ni wakuwaweka pression kubwa langoni kwao kwa mpira wa kasi ili wasipate nafasi ya kupanda juu kuja kushambulia kwa wingi

Yanga wanacheza mpira mzuri zaidi ya USM Alger yanga wana wachezaji wenye kasi kubwa saana zaidi ya USM Alger
 
Nina wasiwasi sana na nafasi ya Aucho, tuwaombee Yanga watembee bahati/nyota/upepo wabebe ubingwa wa CAFCCL 2023 na kuiheshimisha TZ.

Mungu ibariki Young Africans, Mungu ibariki Tanzania.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ukiwaombea wewe inatosha Mkuu si wengine ni watazamaji tu.

Huyo Aucho replacement yake si ipo?

Mnasifika kwa kikosi kipana, sioni sababu ya kupata wasiwasi kukosekana mchezaji mmoja
 
Kila nikifunga macho yangu sioni chochote kabisa ila ninaomba tu timu yetu.

Wawe makini Na mipira ya juu maana USM Alger ni wazuri zaidi kwenye mipira ya juu

Jinsi ya kucheza Na watu kama Hawa ni wakuwaweka pression kubwa langoni kwao kwa mpira wa kasi ili wasipate nafasi ya kupanda juu kuja kushambulia kwa wingi

Yanga wanacheza mpira mzuri zaidi ya USM Alger yanga wana wachezaji wenye kasi kubwa saana zaidi ya USM Alger
Nimepitia kidogo kupima upepo kwenye page ya USM Alger mashabiki wao wanasema Yanga INA ukuta mgumu sana na hivyo wananchi nanyi vimbeni mashabiki wa USM Alger nao kichwa kinawauma kuhusu ukuta wa Yanga.
 
Kwa uelewa wako huwa unafahamuje maana ya "Potential/Key Player"?

Jibu la swali ndilo linaendana na wasiwasi wangu kuhusu fainali za CAFCCL home & away.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kila nikifunga macho yangu sioni chochote kabisa ila ninaomba tu timu yetu.

Wawe makini Na mipira ya juu maana USM Alger ni wazuri zaidi kwenye mipira ya juu

Jinsi ya kucheza Na watu kama Hawa ni wakuwaweka pression kubwa langoni kwao kwa mpira wa kasi ili wasipate nafasi ya kupanda juu kuja kushambulia kwa wingi

Yanga wanacheza mpira mzuri zaidi ya USM Alger yanga wana wachezaji wenye kasi kubwa saana zaidi ya USM Alger
UTo wakitoboa mniite mbwa
 
Nimepitia kidogo kupima upepo kwenye page ya USM Alger mashabiki wao wanasema Yanga INA ukuta mgumu sana na hivyo wananchi nanyi vimbeni mashabiki wa USM Alger nao kichwa kinawauma kuhusu ukuta wa Yanga.
Hilo halina ubishi, ila mpira ni mpira tu hasa kwenye hatua hii chochote kinaweza kupatikana
 
Sijui kwanini huwa ni Aghalabu sana Yanga kupata ushindi kwa Mkapa kuliko ugenini, turufu naiona ipo ugenini
 
Back
Top Bottom