Maoni yangu kuhusu ujenzi wa Ubungo Flyover

Kwenye service, ni wachache hubadili oil ya gear box miaka na miaka. Si ya kubadili mara kwa mara lakini ni muhimu baada ya service kadhaa. Kuliko kuweka oil ya ovyo bora ibaki Ile original.
Unajua watu wanatumia hizi oili kwa kusikia kuwa watu bila kujua kuwa kila chombo kina recommended oil yake
 
Back
Top Bottom