Maoni yangu kuhusu TBC Aridhio

keshaulo

Member
Jan 7, 2020
86
69
Kwanza niwaponpeze TBC na kipindi chenu kipya cha dk 120 kilicho jaa habari mchanganyiko, ila jana mtukwaza wakati mkuu wa nchi yuko live nyie mnakata matangazo je mnakwama wapi jamani?

Hizi TV stations zingine ni entartaiment tu ndio wanawazidi ila habari tunatarijia kuzipata TBC lakini ndio hovyo kabisa.

Dressing code yenu bado ni shida sijui nani anawavisha, yaani kama wale wadada wa wanaotoka nyanda za juu ndio kabisaa, eti back screen nyekundu ane anavaa red sasa hapo si kutuumiza macho tu kuna mdada mmoja tu ndio anajitahidi kuvaa, kafanyeni tour ITV dresing zao very smart!

Aah mnatuchosha jamani. Tunawapenda ndio maana tunawambia mjirekebishe.
 
Kwa ujumla TBC aridhio mimi siwaelegi kabisa, taarifa zenu hazieleweki, jirekebisheni au wekeni tu kiwe kipindi cha wanyama.
 
Back
Top Bottom