Maoni yangu kuhusu biashara ya kuagiza bidhaa China

Kuna huyu jamaa hapa,nilljikuta tu nimekuwa added kwenye group lake Ila nikawa interest na bidhaa anazopost na bei anazoweka.Lkn nimekuwa mzito sn wa kufanya maamuzi maana nilipoona amezuia watu kucomment nimejikuta nimeona Kam amefanya udicteta watu kutoa feedback

View attachment 2226885
Ndo maana kwenye huu uzi nimesisitiza watu kuagiza wenyewe. Hao ni matapeli.
 
Wanaoagiza vitu china wapo wakweli na matapeli, wale wakweli wengne wanachukulia Alibaba, 1688 ila wansongeza commission kdg na kwakuwa wanataka wing wa bidhaa ndio wanapokula na kwenye usafiri ndio wanakuja kula zaid ila sio kwamba wote ni matapeli japo kama kawaida wabongo hawachelewi kujiongeza.

1688 kama unaelewa 中国人 unapata bidhaa kwa bei rahisi sana, mm nina ushuhud rafiki yang alikuwa anafanya hyo coz dada yake amesomea huko so alikuwa anamsaidia kwenye kutafsiri lugha.

Ila ni vizur ukajifunza mwenyew kuagiza ata Alibaba kuna bei nzur kama ukiweza kuzungumza na wauzaji vizur japo bei za alibaba haiwez kufanana na 1688.

Ukitaka upate faida nzur akikisha unachukua mzigo mkubwa ili ukija kutoa gharama ya usafiri ikulipe vizur.
 
Kila nikiingia alibaba nachat na hao wachina ila sasa kuagiza ndo nasita kwa kweli and sijui kwa nini,
Jaribu kununua vitu vya bei ndogo kama mifuko ya karatasi, au hata sample ufanye mazoezi ya kununua, hakikisha mawasilisno yako unayafanya kupitia alibaba, na malipo kupitia alibaba kwa kutumia credit au debit, kama huna unaweza kutumia ya jamaa au rafiki.
 
Unasema unamlipa mchina mwenyewe je unamlipa kwa njia gani?
Kwa ninavyofahamu unalipa kupitia ile website ya Alibaba Kwa kutumia Mastercard ambazo hata Kwa mitandao ya simu zipo mf Airtel master card na Voda n.k.uzuri wa kulipia direct kwenye website huwez tapeliwa maana mzigo usipofika unafanyiwa refund nshawahi rudishiwa Hela thru AliExpress mara kadhaa.

katika mitandao hiyo miwili wanasisitiza malipo kufanyiwa thru website ndo unaweza lipwa usipopata mzigo ila mkilipana uchochoroni Alibaba haihusiki na yatokanayo.aidha tofauti ya ke ni Alibaba ni wholesale wakat AliExpress ni retail.

the good news ni kwamba wanasafirisha Hadi kupitia posta kulingana na aina na quantity ya mizigo hivyo ni rahisi zaidi.
 
Asante mwanzisha mada.
Naomba kujuzwa ukitaka kuimport Mzigo wa mikoba ya wanawake unawezakushari mtu ajipange mtaji wa kiasi gani kama kianzio mpaka anaupata kupitia ocean sea

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Shangazi yangu alitaleliwa 30m kipindi kile cha corona mpaka leo analipa hela za watu
 
Asante mwanzisha mada.
Naomba kujuzwa ukitaka kuimport Mzigo wa mikoba ya wanawake unawezakushari mtu ajipange mtaji wa kiasi gani kama kianzio mpaka anaupata kupitia ocean sea

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Mikoba inategemea na aina ya wateja wako. Kama ni sisi wa daraja la chini kabisa hata milioni moja inatosha kuanzia. Mzigo wa laki 8 halafu laki 2 usafiri.
 
Kuhusu matapeli wa kichina huwa ni nadra sana kutokea. Pia kuna jinsi ya kuwagundua kabla hata hujaagiza..

Unamgunduaje huyo tapeli!!? C vzr ukatuachia hilo swali vichwani vyetu ukilinganisha na mahudhui na dhamira ya huu uzi
 
Mimi nawakubali Sana Tanzua Express, hawa wanakununulia na kusafirisha mizigo yako. wao wana watu wao nie ya nchi wanafanya kazi hiyo.
 
Unamgunduaje huyo tapeli!!? C vzr ukatuachia hilo swali vichwani vyetu ukilinganisha na mahudhui na dhamira ya huu uzi
Kumgundua tapeli bado ni ngumu sana ila kwa upande wangu naangalia kama kawa verified na Alibaba pia naangalia Star rate na comments za wateja kwenye page yake.

Anaweza akawa verified, star rate 5/5 na comments nzuri na bado akakufanyia uhuni. Kimsingi kumwamini mfanyabiashara kwa 100% bado ni ngumu.
 
Kumgundua tapeli bado ni ngumu sana ila kwa upande wangu naangalia kama kawa verified na Alibaba pia naangalia Star rate na comments za wateja kwenye page yake. Anaweza akawa verified, star rate 5/5 na comments nzuri na bado akakufanyia uhuni. Kimsingi kumwamini mfanyabiashara kwa 100% bado ni ngumu.
Ok! Kikubwa tahadhari tu
 
Back
Top Bottom