Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,437
- 1,786
Wakuu:
Naomba nitoe maoni yangu/mchango wangu kuhusiana na bajeti, hususani kwenye KODI ZA MABANGO kukabihiwa TRA,
KWA maoni yangu, hili ndilo jambo baya zaidi kuwahi kuanywa na serikali toka awamu hii imeingia, ninazo sababu kadhaa ambazo huenda zikawa chache ila naamini zinaweza zikawepo nyingi zaidi ya hizo
1: Kodi za mabongo zimekuwa zinakusanywa na halimashauri za miji,wilaya au manispa, ili kuziwezesha kujiendeleza katika miladi ya maendeleo, hvyo kuziondoa kwao maana yake itabidi kutegemea luzuku serikalini jambo ambalo litakuwa gum sana
2: Yapo makampuni ambayo yanawatu yamewajiri kwa ajiri ya kukusanya kodi husika(hutumiwa na halimashauri) kuziondoa kodi hizi maelfu ya watu watapoteza ajira na kufanya maisha kuwa magumu zaidi,
3: Mfumo wa kielekitroniki ambao ulitambulishwa mwaka jana kwenye bajeti, ndiyo ulikuwa furusa kwa halimashauri kuutumia ili kuona kama unafanya kazi, ukumbuke mfumo huu umetumia pesa nyingi, kuuondoa tena na kuwapa kazi TRA maana yake ni kubadili mfumo tena, huku tukuwa hatujajua je mfumo ndiyo unatatzo au jinsi watu wanavyo fanya kazi ndiyo kunashida?
4:TRA bado hawana wafanyakazi wengi wakutosha kukusanya hzo kodi, ikiwa tu mapato, majengo na lessen bado hawajafanya vizr je ukiqaongea na DUDE la mabango wataweza? Kunawakati najiuliza hivi hawa wanao andaa bajeti huwa wanajua madhara ya kubadili mfumo?
5: Kila halimshauri zina by law zao ambazo huziongoza katika kukusanya mapato, sasa ikifikia kipandi bajeti ikapita je hzo by law zitafungiwa vitumbua? Au kutakuwa na sera mpya na sheria ya mabango? Maana kiuhalisia mtu wa mwanza au geita huku hawezi kuwa sawa kulipia na mtu wa huko dar,au A town..
6: Tayari tenda zimekwisha tangazwa na baadhi ya maeneo wazabuni wamepatikana(makampuni)huoni tayar ni mgogoro, je wakusanye au waache?
Ifike mahali serikali iache kuhamisha magori, ifundishe kuheshimu mifumo iliyopo, itasaidia sana kuleta tija na maendeleo ya watu, leo hii zipo kampuni zinategemea kuishi kwa sabab kazi hizo, zipo halimashauri chanzo chake kikubwa ni mabango,
USHAURI: WABUNGE WAJE NA MAPENDEKEZO YA KUABADILI HICHO KIPENGELE ILI HALIMASHAURI ZIENDELEE KUKUSANYA MAPATO, KWA USTAWI WA AJIRA NA KUKUZA MAPATO.
THINK...