Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,446
- 1,812
- Thread starter
- #21
Mkuu unazungumzia halimashauri unayoifaham au zote? Na je unazungumzia halimashauri zenye mawakala au zinazokusanya zenyewe?Halmashauri hazijawahi kuwa effective katika kutoza kodi za Mabango, na Mh. Rais aliwahi kuuliza halmashauri iliyowahi kufikisha estimated revenue kwenye Mabango yaliyo kwenye road reserve hakukupatikana hata moja. Kilichozoeleka miaka yote, wafanyakazi au mawakala ni kujipatia chao na kuinvoice less. Nipo kwenye hiyo sekta nimekumbwa na hayo binafsi.
Mkuu ingekuwa ninaruhusa ningrkupa data za halimashauri ambazo mapato ya mabango yanaongoza kwa kuvuka lengo,
Nenda kasome kwenye mapato ya halimashauri za miji na majiji, hasa mawakala wanazo kusanya, ndo utajua kuwa halimashauri zinakusanya kiasi gani..
Kuna halimashauri ambazo nazijua(sitoweza kuzitaja) mapato kabla ya mawakala walikuwa wanakusanya chini ya m50 kwa mwaka na humo ndani hawajatoa expences, baada ya mawakala wamekusanya m150.wala hawajaingia any cost ya uendeshaji
Je hapo wamepoteza au wame gain? Umesema vyema hapo juu ila mkuu kunaswala la ajira na ufanisi wa kazi, usitazame tu upande mmoja itazame jamii nzima kwa ujumla....