sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,026
Wanasema kitu chenye faida basi huwa kina hasara zake,
Intaneti imekuwa teknolojia bora iliyoendeleza nchi nyingi kuanzia maarifa, uchumi, n.k.
Kwa wenzetu intaneti imekuwa fursa ya mtu kudownload Vitabu vingi sana kujiongezea maarifa ila kwa nchi hii kukuta mtu ana kitabu cha kujiongezea maarifa kwenye simu yake ni nadra, na hata kama kipo basi labda ni kwajili ya chuoni akariri ili àpate cheti baada ya kumaliza chuo hakina umuhimu.
Intaneti kwa kiasi kikubwa hapa tz imekuwa kifaa cha kujua nani kasema nini kwa mwenzake na kajibiwa nini, yani kwa lugha nyepesi "UMBEYA".
Intaneti imegeuka kuwa chombo cha kuperuzi picha na video za ngono na hili nimejithibitishia kwa watu wengi wanaonipa simu zao wanaperuzi sana ngono,