MAONI YAKO KUHUSU TIBA YA BABU LOLIONDO- Questionnaire Survey | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAONI YAKO KUHUSU TIBA YA BABU LOLIONDO- Questionnaire Survey

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwenda_Pole, Mar 28, 2011.

 1. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu katika pitapita mtandaoni nimekutana na hii hapa, tunaweza kushiriki.


  Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa vyombo vya habari nchini Tanzania na nje ya nchi vimekua vikiandika habari juu ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa kijijini Semunge huko Loliondo pamoja na dawa anayoendelea kutoa kwa maelfu ya wananchi wenye matatizo mbali mbali.
  Tungependa kufaham maoni yako binafsi juu ya suala hili kwa kujibu maswali machache kwenye survey inayopatikana kwa ”ku-click” link hapo chini. Inachukua dakika chache kujibu maswali na hatuhitaji kufaham jina lako. Matokeo ya takwimu yatatangazwa hapa siku chache zijazo Ahsante.

  https://spreadsheets0.google.com/viewform?formkey=dEswRHpxZ3RJSzAzalBDYkVZMEs5N1E6MQ
   
 2. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Zoezi la ukusanyaji maoni bado linaendelea wadau, mnakaribishwa kutoa maoni yenu kwa kujaza questionnaire kama bado haujafanya hivyo
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni questionaire nzuri, lakini kwanini muulize dini ya mhusika...has it got any impact kwenye masuala ya tiba?
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  DINI DINI JAMANI!

  Hivi wanaoleta udini si wakawaulize waumini wa dini zao imekuwaje wakaenda kupata kikombe kwa babu?
   
 5. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Tujifunze kufanya mambo yetu kisayansi zaidi- Big Up nami nimeijaza na Samunge nimerudi niko fit sana.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Hongera bro, kama hutajali swali langu, ulikuwa ukiumwa nini?
   
 7. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je, ni lazima kujibu maswali yote???
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Jaribu kutizama tena swali la nne na la tano ili urekebishe hiyo questionaire. Kimantiki sio lazima kujibu swali namba tano kama jibu la namba nne ni +ve, lakini ili kusubmit, unalazimika kujibu namba tano na yaliyotangulia.
   
 9. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeijibu lakini bado naona kama ina mapungufu....
   
Loading...