Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,919
- 31,161
Afya ya Dr Mwakyembe si suala la watu wa Mbeya au Kyela pekee yao hili ni suala la kila raia wa Tanzania mwenye mapenzi mema na nchi yake.Nimeguswa sana na ugonjwa wa Dr Mwakyembe kiasi siku haiwezi kupita bila kuizungumzia afya ya mpiganaji wetu,hakika Tanzania inapitia katika kipindi kigumu kuliko tunavyofikiri.
Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama,dini,kabila sote kwa pamoja tumuombee Dr Mwakyembe.WanaJF Arusha t uandae siku maalumu ya kumwombea Dr Mwakyembe ikiwemo kufunga kwa siku kadhaa tutakazo kubaliana.WanaJF wa mikoa mingine wasibaki nyuma wahakikishe wanafanya sala na toba kwaajili ya Dr Mwakyembe tusisubiri afe tuanze michakato ya kutengeneza tshart na nk.Tafadhali chukua hatua kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wako.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika.