Maoni ya Thomas Nyimbo kuhusu hotuba ya Kikwete na hatma ya Tanzania

laiti jk angetambua anao washauri wengi wanaomtakia mema leo hii angekuwa amefanya mambo mengi ya maana ukizingatia wananchi wengi walimpenda wakati anagombea katika awamu ya kwanza,wangekuwa nae bega kwa bega katika kila hali, kwa kuwa anaamini NEC na CC ya CCM yake ambayo vigogo wachache wenye hila na wasioitakia mema nchi yetu wameitawala basi ndugu yetu huyu amepotea na nadhani atakapotoka madarakani atakuwa ameacha historia mbaya kwa Tanzania i.e maisha duni na ya ovyo yenye kukatisha tamaa!

HONGERA Mh. NYIMBO
 
Back
Top Bottom