Maoni ya Muasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei Kuhusu UKAWA.

laki si pesa.

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
10,003
9,731
Wana jF.
Mwenye taarifa au maoni ya Muasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei aliyoyatoa kuhusu Muungano wa Ukawa atujuze,
Sijawahi kumsikia hata siku moja huyu mzee akiizungumzia Ukawa.
 
Wana jF.
Mwenye taarifa au maoni ya Muasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei aliyoyatoa kuhusu Muungano wa Ukawa atujuze,
Sijawahi kumsikia hata siku moja huyu mzee akiizungumzia Ukawa.
Mkuu unaambiwa mzungumzo ni ya siri na Mtei ndiye mwenye kura ya turufu, sasa unataka maoni yake kabla chama hakijatoa msimamo.
 
Taarifa kwamba mzee Mtei anaipinga Ukawa ni za kweli?
Ni uwongo kwa asilimia 100 na ukweli wenyewe ni kuwa anauunga mkono muungano wa vyama chini ya mwamvuli wa Ukawa kwa more than 110%

Wewe laki ya pesa unaonekana kama unapenda kushabikia mambo ya udaku.
 
Unaweza kutuletea ushahidi wa kauli aliyoitoa kuunga mkono Ukawa?
 
Endelea kuishi kwa matumaini mtoa mada najua unatokea kaskazini Arusha na ni team lowassa ccm haiwataki refer Riziwani . Asa we kitimbakwiri utasikika? Msalimie rafikio kiloriti
 
Last edited by a moderator:
mleta mada itakubidi uendelee kusubiri miaka kadhaa ili ushuhudie anguko la ukawa
 
Back
Top Bottom