Maoni ya Lucy Mayenga (Mb) Kuhusu Bunge lililoahirishwa leo

Campana

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
207
40
Mheshimiwa huyu, akihojiwa na TBC kuh bunge hili, amesema, pamoja na mengineyo, kuwa:

Kuna wabunge wenye taaluma ya sheria wametumia bunge kuonesha ujuaji wao kuliko 'waliobobea' kwenye sheria.

Wabunge hao 'wajuaji' wanataka kutafuta umaarufu kupitia bunge

My take:

Sikuwahi kumwona mh huyu akitoa mchango wowote bungeni, hivyo nadhani yuko hodari kuupepeta nje ya bunge kuliko ndani ya bunge.

Anasumbuliwa na wivu kwa wale wenye 'kitu' kichwani, wanapotumia kujua kwao kwa manufaa ya nchi.

Siasa zinaendana na umaarufu. Ni bora kwa mwanasiasa yeyote kutafuta umaarufu kupitia majukwaa kama bungeni, badala ya njia nyinginezo kama hongo, upendeleo (wa viti maalum - kama mheshimiwa huyu alikopitia hadi kuibukia mjengoni).
Bado ana gamba usoni - linalomfanya asijue wananchi wanataka nini.

Yeye, kama wabunge wenzake, wako bungeni kuwakilisha u-ccm wao badala ya wananchi
 
Hajui majukumu ya mbuge na sidhani kama kuna ubaya mtu aukitumia kipaji na utaalamu wake kwa maslahi ya taifa. Kama kutetea maslahi ya taifa ni kutafuta umaarufu, kuna ubaya gani basi iwapo mtu ataupata huo umaarufu na watanzania tukafaidika na sheria nzuri?

Kama wabunge wenyewe ndo hawa...

Yetu Macho
 
teh teh unanikumbusha siku moja Marehemu Amina Chifupa alijishaua kuingia ktk mjadala na Bi Halima Mdee...palikuwa pazuri sana, coz wote walikuwa ni wabunge wa viti maalum.

Ila mwisho wa siku tukaenda kulala huku tukiwa na jibu kuwa wabunge wa viti maalum wa CCM ni ushuzi mtakatifu
 
kichwa kimoja cha tundu lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm ama kweli lissu ni noma
huyo anasumbuliwa na wivu,ni kawaida kwa mtu ambaye hana kitu kichwani kuongea utumbo kama huo,kwani aliomba kuchangia akanyimwa!?,na hii itapunguza wabunge wasio na kitu kichwani kusimama na kuongelea mswada,watu kama akina maji marefu, lameck airo inabidi watu kama hao bila kumsahau lucy mayenga inabidi wawe wanaingia na pipi katika vikao vya bunge kuepuka mdomo kunuka.
 
teh teh unanikumbusha siku moja Marehemu Amina Chifupa alijishaua kuingia ktk mjadala na Bi Halima Mdee...palikuwa pazuri sana, coz wote walikuwa ni wabunge wa viti maalum.

Ila mwisho wa siku tukaenda kulala huku tukiwa na jibu kuwa wabunge wa viti maalum wa CCM ni ushuzi mtakatifu

hao wa ccm wapo kwa ajili ya kazi maalumu ndiyo maana mkazo wawe 50%,utajiuliza usawa huu ni wa nini wakati wengi wao wamemaliza miaka 5 sasa bila kuongea!?
 
Lissu ni Kichwa na hawawezi kumlinganisha Lissu na Kichwa maji kikwete 000000000
 
nimemuona akijionelesha nikajua ana-advertise lipstick alovaa!she is too simple minded.jamani msitukatie tamaa,hao walipewa ubunge kwa vigezo hivyo vya kubwajaja.hakuwa anajua asemacho asilani,naomba radhi kwa niaba yake wakuu
 
Bunge la tatu, umahiri na umakini umeonekana kwa vichwa vs makalio. Damn!
Waziri mkuu kaongea nyuki na mizinga na asali kwa dk 20. WTF!
 
huyo anasumbuliwa na wivu,ni kawaida kwa mtu ambaye hana kitu kichwani kuongea utumbo kama huo,kwani aliomba kuchangia akanyimwa!?,na hii itapunguza wabunge wasio na kitu kichwani kusimama na kuongelea mswada,watu kama akina maji marefu, lameck airo inabidi watu kama hao bila kumsahau lucy mayenga inabidi wawe wanaingia na pipi katika vikao vya bunge kuepuka mdomo kunuka.

na kuunga mkono mtu kama lameck airo ajaenda hata shule la saba lenyewe kamaliza kwa shida hili ndilo ambalo ccm wanatakiwa walifanye kuwatoa kadi watu kama hao ambao wametumia pesa zao kuingia bungeni wanakazi nzito ccm ya kufanya ndipo tuweze kuwa amini
 
….I personally know the lady, she is ultra-opportunist and very cheap to buy...kwa kifupi anapenda sana kuhonga wakati wa kampeni, alianza na ubunge wa viti maalum-vijana, sasa ni kinamama toka Shinyanga...ni Lowassa's Camp,... rumours are that her move to switch from Christianity to Islamic were for political and economical advantages rather than faith-based...
 
natamani kulia bi dada mwenzangu anapodondokwa na maneno bila kutarajia , nimeangalia bunge leo nikajiuliza maswali mengi hasa juu ya suala la uwakilishi wa wananchi kwenye hiki chombo nadhani kwenye katiba mpya tuweke kipengele cha mgombea binafsi , wabunge wanafikia maamuzi kwa kuangalia misimamo ya vyama vyao , leo Lissu alikuwa akiomba marekebisho kwa hoja za msingi lkn yalipigwa chini kwa kura za kutamka hapana ht walipoamua kupiga kura wakapiga kengele wabunge ambao hawakuwa wakijua nini kimeongelewa wakapiga kura
Hii ni kutuchezea watz na fedha zetu tunazowalipa wanazitumia hovyo nadhani tuanzishe utaratibu wananchi kuwahoji wabunge wetu juu ya kile wanachofanya bungeni kwa niaba yetu .
 
Viti maalumu ni ubabaishaji tu! Kuna rafiki yangu mmoja kutoka nchi iliyojengeka sana kidemokrasia aliniambia, huko kwao mfumo wa kijuha namna hii hauwezi kutumika.
 
Waweza ona mbunge anayejiita engineer manyanya alivyojivunjia heshima, hata ukihiyo wake kukataliwa na makinda anayeonekana kubeba chochote cha ccm.
Kama ni kutafuta umaarufu, leo aliyejaribu kufanya hivyo ni manyanya si Tundu Lissu, anayetumia elimu yake kutetea watanzania.
 
Mkuu, eti tunahitaji nyuki sisi?<br />
Ili madini na gas na mbuga za wanyama ziwe za nani? WTF' upuuzi mtupu!
<br />
<br />
Hata maelezo ya kidaktari hayakupaswa kuwepo kwenye hiyo hotuba aache wataalam wafanye sehemu zao.
 
For once wabunge wa ccm wanaona kuwa wajibu wao ni a serious business siyo mahali pa kwenda kupiga usingizi - Go Lissu Go
sasa spika awashauri vilaza wake waje na notebook vichwa vikimwaga wachukue notes. Inadhihirika wazi kuwa CDM wameleta vichwa
 
Back
Top Bottom