Maoni ya kuunda shirikisho yametoka wapi?

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Mimi nitauliza wee hadi nipewe jibu. Hii tume ya Warioba walipata wapi maoni ya kuunda shirikisho badala ya Muungano tulokuwa nao? Je, kuna mtu yeyote mwenye takwimu za maoni ya wananchi kuhusu Shirikisho vs Muungano?
 
Mkandara unakaa Canada sisi tuko Tanzania nyie lieni na u DUO haya ya nchini kwetu tuachieni.Sasa ni katiba mpya yenye maoni ya wananchi pitia Tume ya Warioiba . Uko Canada si msaada maana hata maoni hukutoa mkuu wewe tuachie sisi wenyewe .
 
Reality ni kubwa Tume ilichemka!
 
Mkandara unakaa Canada sisi tuko Tanzania nyie lieni na u DUO haya ya nchini kwetu tuachieni.Sasa ni katiba mpya yenye maoni ya wananchi pitia Tume ya Warioiba . Uko Canada si msaada maana hata maoni hukutoa mkuu wewe tuachie sisi wenyewe .
Ahahaha mbona niliyatoa lakini hawajafikia huko maana sikuzungumzia kabisa Muungano wala muundo wa serikali isipokuwa Mambo ya muungano. Kama unajua hili la Shirikisho limetoka wapi mkuu nijuze maana nisiseme uongo mimi na hao machangu kina Jussa siwezi kaa nao meza moja hata kama....Na ndio maana waniona upande mwingine kwani walotufanya mwaka 2010 (for their interest) sitoyasahau na najua changudoa kuwaacha CCM mataani leo hii wana lao jambo na mtakuja nambia. Siogopi kubakia peke yangu lakini penye ukweli lazima tuzungumze!
 
Mimi nitauliza wee hadi nipewe jibu. Hii tume ya Warioba walipata wapi maoni ya kuunda shirikisho badala ya Muungano tulokuwa nao? Je, kuna mtu yeyote mwenye takwimu za maoni ya wananchi kuhusu Shirikisho vs Muungano?
Ahahaha mbona niliyatoa lakini hawajafikia huko maana sikuzungumzia kabisa Muungano wala muundo wa serikali isipokuwa Mambo ya muungano. Kama unajua hili la Shirikisho limetoka wapi mkuu nijuze maana nisiseme uongo mimi na hao machangu kina Jussa siwezi kaa nao meza moja hata kama....Na ndio maana waniona upande mwingine kwani walotufanya mwaka 2010 (for their interest) sitoyasahau na najua changudoa kuwaacha CCM mataani leo hii wana lao jambo na mtakuja nambia. Siogopi kubakia peke yangu lakini penye ukweli lazima tuzungumze!
Mkuu, inaonesha unachuki binafsi na baadhi ya watu! Chuki yako usiielekeze kwenye swala nyeti kama katiba mpya ya Tanzania. Tume ya Warioba ilikwenda kwa wananchi ambao walitoa maoni yao na baadae maoni hayo yalirudishwa kwa wananchi kama rasimu ya kwanza, marekebisho yalifanywa na kutengenezwa rasmu ya pili. Kama wananchi wangekuwa na wasiwasi basi wangepinga maoni hayo kuwa hayakuwa yao. Pamoja na rasmu tume ilitengeneza bango kitita na randama vyote vikionesha maoni halisi ya waliofanikiwa kuyatoa. Serikali ilipoamua kuvunja tume ya Warioba iliifunga na tovuti yao ambako ungepata taarifa nzima. Lakini nionvyo mimi swali lako limejaa hila!
 
Mimi nitauliza wee hadi nipewe jibu. Hii tume ya Warioba walipata wapi maoni ya kuunda shirikisho badala ya Muungano tulokuwa nao? Je, kuna mtu yeyote mwenye takwimu za maoni ya wananchi kuhusu Shirikisho vs Muungano?

Serikali imeifunga TOVUTI ya TUME ingekuwa rahis kupata hizo takwim so chakujiuliza Serikali inaogopa nini wananch wake wasisome kilichomo....
 
Back
Top Bottom