Maoni ya Katiba: Wazanzibari, Urais uwe kwa Zamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni ya Katiba: Wazanzibari, Urais uwe kwa Zamu

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mkigoma, Jul 4, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wakitoa maoni yao mbele ya tume ya katiba jana mkoa wa kusini Unguja, watu wengi waliotoa maoni yao wametaka kuwe na zamu katika kupokezana uraisi wa muungano na wametaka muungano uwe wa milele ila uboreshwe. chanzo gazeti la Zanzibar leo.
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa mana kama hamutaki au hayo hayatakubaliwa basi mjue ndio muungano unaenda zake na yako mengi makuu kuliko hilo na yote ni lazima yawemo vyenginevyo tugawane mbao.
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mara hawataki muungano, mara wanautaka!!? Kigeugeu.
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Zanzibar Leo ni gazeti la serikali, what do you expect from their editorials!!! We need an independent reporter!
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa hoja zinazotolewa na zitakazotolewa wenyewe mtajua kuwa jamaa washauchoka na mtakuwa hamna budi kubwaga manyanga.
   
 6. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Hiyo ni nzuri kwani siku Ccm wakimsimamisha Mznz ndio itakuwa mwisho wake
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  CCM wakiweka ngedele basi watashinda,we wawapi wewe ?
   
 8. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  Zamu kwa maana ya kwamba na Sisi sasa tutaanza kuwa tunakwenda kuongoza Zanzibar kama wafanyavyo wao? Mara mwaka huu mtu agombee mkuranga mwaka ujao bububu! Kama na upande wetu itaruhusiwa basi ni vyema. Ila kama wazanzibar wanataka Urais then na sisi Wasukuma tutataka tuwe kwenye hiyo rosta. Tuko zaidi ya million 15 katika million 42. We deserve kwa kuwa kama watu m1 wanataka wawe considered kuwa na zamu ya urais bila kujali uwezo wa mtu then hata Jussa ataweza kupendekezwa aongoze JMT.
   
 9. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  nafikiri wasioutaka ni wale waroho wa madaraka na vikaragosi vyao wanaouona muungano mi kikwazo kwao.
   
 10. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa Zamu kwani ni mbio za kupokezana vijiti?
   
 11. S

  SPANERBOY UDZUNGWA JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 623
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kwanini hawa watu hawavunji muungano? Mi nimechoka sasa
   
 12. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  hapo indirectly wanawaaambia mwifufue tanganyika yenu ili kuwepo na serikali TATU
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mi nataka papi
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wamuweke mhindi wao JUSSA
   
 15. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa Zanzibar wapungue kwenye central government kwani ni cancer tu
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Safari hii mkitaka msitake Zanzibar itawapa somo la kihistoria ,Wanayoyataka Wazenji yapo uwanjani kama mtairudisha Tanganyika au mtaizika ,Zanzibar will remain forever and ever yaani hata dunia ikimalizika basi Zanzibar itakuwepo. Wenye wivu wajinyonge
   
 17. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,677
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Wazenji bado hawaelewi somo. Safari hii ni tofauti, hatutaki tumechoka.
   
 18. y

  yetabula Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hii sasa ni kali ya mwaka, yaani chao chao na chetu chao? Sasa sisi tunabakia na nini? Kama ni hivyo basi na wabara wapate nafasi ya kuweza kutawala huko Zenji, lakini sio wao tuuuu.
   
 19. M

  Msemalo nakataa New Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayo si mawazo bali ni uzushi tu,wanzanzibar wamechoka kukandamizwa...inasemekana kuwa hakuna watu wanaolipa kodi kubwa Tz kama si wazanzibar..hii inawakera sana na hapa ndo yanakuja maamuzi ambayo...(to continue)
   
 20. Young Tanzanian

  Young Tanzanian JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,740
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hawa wazanzibar wamezid kulalamika kwanza ata kwenye tume ya katba kuwa nao idadi sawa si haki..kila idara wanataka wapewe usawa..bot wanataka..hazina wanataka.. kila idara hawatuwape nchi yao tuu..ktk vtu nyerere alivyokosea nikutuunganisha na hawa jamaa kaz hawatak kila ktu kulalamika...
   
Loading...