Paddy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 470
- 337
Madiwani vihiyo ni wengi sana pamoja na mameya wanaochaguliwa. Mfano, madiwani na meya wa Mbeya mjini wengi hutokea pembezoni mwa mji matokeo yake wanafikiria ukabila na kuendeleza maeneo yao ya pembeni jiji linasahaulika. Mipango thabiti ya maendeleo hukosekana katika miji yetu. TUONYESHENI HIVI VIKAO LIVE KWENYE TV ILI TUJUE WANAOTUSALITI NI KINA NANI, Mbona bunge huonyeshwa live? Madiwani wanakula posho tu!!