Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais wa TLS, Mh. Tundu Lissu (Mb)

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Hongera kwa ushindi mkubwa mwenyekiti,

Ninatumaini unafahamu kabisha jinsi tume ya uchaguzi inavyofanya kazi, kwa haya yanayoendelea hatuna Imani na tume hii kusimamia uchaguzi 2020. Tunakuomba usimamie tume huru ya uchaguzi kabla hatujafika katika uchaguzi ujao.

Kwakweli tumechoshwa na kauli za kejeli na dharau na ubabe kutoka juu.
 
Inasikitisha sana kuona RC pamoja na kufanya makosa na waziri wa habari kutoa tamko la kuunda tume, rais anakuja na kauli ya kumpongeza RC hadharani. Hii ni dharau kwa waziri wa habari. Basi nchi waingoze wao wawili.
Dharau kubwa sana. Yan kawafanya na kina mengi nao waonekane mafala.
Huyu mzee anaona katuweka kny chupa. Kama kapata mke mdogo asipitilize mpaka kwa wananchi aiseee
 
Huyu jamaa ana dharau kubwa sijawahi kuona.
Yeye kaona ego yake ni muhimu zaidi kuliko kumtumbua jamaa. Najua hakua na sababu nyingine ya kutomtumbua jamaa zaidi ya kutaka kuonekane kua yeye ni mbabe haambiwi kitu na mtu. Alafu akiitwa jeshi la mtu moja analalamika, hehehe! anahisi anasimamia needs za watu, kumbe yuko pale kujiridhisha moyo wake mwenyewe. Useless kabisa. I've lost all respect to this guy. Maneno mengi tu ila hakuna lolote.
 
Huyu jamaa ana dharau kubwa sijawahi kuona.
Yeye kaona ego yake ni muhimu zaidi kuliko kumtumbua jamaa. Najua hakua na sababu nyingine ya kutomtumbua jamaa zaidi ya kutaka kuonekane kua yeye ni mbabe haambiwi kitu na mtu. Alafu akiitwa jeshi la mtu moja analalamika, hehehe! anahisi anasimamia needs za watu, kumbe anasimamia kujiridhisha moyo wake mwenyewe. Useless kabisa
Haya yamewezekana kwasababu ya upole wa wa-Tanzania, ingekuwa Kenya muda huu kingekuwa kinachimbika. Kama hakutakuwa na tume huru ya uchaguzi CCM itatawala milele kwa mwendo wa utawala huu.
 
Hua tunasoma hadithi za madikteta, halafu unashangaa hivi kweli Nikolai alikua anaagiza watu wajenge kasri la barafu wakati nchi yake ni jangwa alikua anawaza nini? No fvck him, hao wananchi wake walikua wanafanya nini kipindi yeye anatoa maamuzi yake utumbo?

Linaloendelea nchini kwangu, naamini watu kama hao hua hawakosi sapoti (waone uvccm na ccm kwa ujumla) hua wanategemea sapoti ya jeshi (angalia mkwara wa Shein kwa Seif na Makonda kwa Clouds), hua hawana washauri na wanataka kila kitu wafanye wao (Nikolai alitaka kufanya kila kitu, mpaka alitoa majina mapya kwa miezi na siku na mkate).

List ni ndefu lakini hoja yangu ni kua kuna wasenge hua wanasapoti huu utumbo, miaka 20 mbele watoto/ wajukuu wetu watauliza mliishije sasa? Mlishindwa hata kuwapiga mawe?
 
Mkuu umenena vema ila pungunguza gadhabu kidogo wasije wakupa ban kama walivyonipaga.
 
Hongera kwa ushindi mkubwa mwenyekiti,

Ninatumaini unafahamu kabisha jinsi tume ya uchaguzi inavyofanya kazi, kwa haya yanayoendelea hatuna Imani na tume hii kusimamia uchaguzi 2020. Tunakuomba usimamie tume huru ya uchaguzi kabla hatujafika katika uchaguzi ujao.

Kwakweli tumechoshwa na kauli za kejeli na dharau na ubabe kutoka juu.
Tatizo Lisu kashajizika mwenyewe. Kwa nafasi yake anapaswa sasa kusimamia pande zote bila upendeleo.
Kuna mda hawezi kupingana na Siasa. Kumbuka kwenye TLS kuna wanachama wa aina zote. Ili asionyeshe U-CHADEMA wake anapaswa kuwa mpole tu. Mi naona kama itabidi aingukie tene serikali ili mambo yake yaende vizuri. La sivyo ataishia kukosolewa kila kukicha. Najua kunawatu watakuja na matusi hivyo karibuni.
 
Hongera kwa ushindi mkubwa mwenyekiti,

Ninatumaini unafahamu kabisha jinsi tume ya uchaguzi inavyofanya kazi, kwa haya yanayoendelea hatuna Imani na tume hii kusimamia uchaguzi 2020. Tunakuomba usimamie tume huru ya uchaguzi kabla hatujafika katika uchaguzi ujao.

Kwakweli tumechoshwa na kauli za kejeli na dharau na ubabe kutoka juu.

Hiyo takataka yenu tls itafutwa hata kabla huyo Tundu wenu hajafungua mdomo wake!
 
Hua tunasoma hadithi za madikteta, halafu unashangaa hivi kweli Nikolai alikua anaagiza watu wajenge kasri la barafu wakati nchi yake ni jangwa alikua anawaza nini? No fvck him, hao wananchi wake walikua wanafanya nini kipindi yeye anatoa maamuzi yake utumbo?

Linaloendelea nchini kwangu, naamini watu kama hao hua hawakosi sapoti (waone uvccm na ccm kwa ujumla) hua wanategemea sapoti ya jeshi (angalia mkwara wa Shein kwa Seif na Makonda kwa Clouds), hua hawana washauri na wanataka kila kitu wafanye wao (Nikolai alitaka kufanya kila kitu, mpaka alitoa majina mapya kwa miezi na siku na mkate).

List ni ndefu lakini hoja yangu ni kua kuna wasenge hua wanasapoti huu utumbo, miaka 20 mbele watoto/ wajukuu wetu watauliza mliishije sasa? Mlishindwa hata kuwapiga mawe?
Mkuu umekosea kidogo tu. Ukilekebisha nitakuja kukupa sapoti.
 
Back
Top Bottom