Hasa ktk Siasa zinavyo wachanganya Watu kiasi unacho kiona sio Halisi katika Jicho la Ukweli.Ninge futahi sana kama Nchi tungekuwa na Mfumo Bora na Mathubuti hata akija Kichaa Nchi iwe inasonga mbele na sio kutegemea Utashi wa Binadam mmoja kuamua kwa ajili ya wengi.
Nchi kama China si kwamba anategemewa Raisi wao kutoa matamko bali kuna mifumo. China swala la Rushwa halihitahi kuzungumziwa jukwaani bali mla rushwa akibainika ana nyongwa.
Korea kusini sheria za rushwa ni kari sana Alie kuwa Raisi kwa sasa yuko ndani.
Tanzabia naona man show, kwamba hakuna mifumo bali ni Matamko kwa matamko. Shida ni nini? Kwa nini zisitungwe sheria kari mno na zikatekelezw?
Kwa nini tungoje ziara na kwenda kudhalilisha watu?
Mzee wa Malimali..
Naanza kuziona vurugu na mbwembwe za uongozi wa Magufuli sawa tu na harakati za Lowassa alivyoamini na alivyotuaminisha kuwa hapakuwa na wa kumzuia kuwa Rais baada ya Kikwete 2015...KUMBE WENYE NCHI WALIKUWA WAKIMZOOM TU na kugonga glass za mvinyo!
Magufuli naye ana akili ile ile ya kiburi na kujisikia sana kwamba sasa madhali yuko Ikulu basi hakuna wa kumzuia kutawala Tanzania hadi siku ya kifo chake..
Anafikiri wenzake waliomtangulia hawakuwahi kutamani kutawala baada ya mihula yao ofisini kukoma...pamoja na kwamba hao wenzake ni watu "smart" intellectually and politically kuliko yeye anayebahatisha tu.
Seems haelewi habari iliyomkuta Dr.Salmini
Seems haelewi yaliyomkuta hata Nyerere mwenyewe!
Lkn kwa kadri muda unavyosonga, naona mbio za Magu ni sawa na mtoto anayecheza kwenye matope...lazima apige chini yan!
Huyu jamaa kajipiga vitanzi kuliko alivyodhani anawavisha wengine shingoni..
Kwa hiyo nasema...simwoni Magufuli beyond 2025, na hata sishangai nisipomwona beyond 2020, NEVER SAY NEVER!
POLENI KWA MVUA!
Tuambie wewe sasa?Tetesi & Fununu
Twitter & Jamiiforums