Status
Not open for further replies.
kwa hilo yuko sawa

maana na yy alikuwa anamshukuru mno mno JK hadi akawa anamkera jk kwa shukrani zisizoisha

hapo upele umefika kwa mkunaji
 
Maana yake tumeshaanza safari ngumu ya kuelekea kwenye mlengo mwingine wa utawala. Tunakoelea, tutakua ni watu wa kushukuru tu, kuogopa kuhoji chochote, kupongeza tu, kutukuza sana, kuabudu wanadamu kama miungu, nk.
 
Hakika huyu Rais anawezea mambo, anatatua matatizo ya wananchi in a very peculiar and funny ways. Anamaliza matatizo huku wanachi pia wakipata burudani. Hongera sana rais, umehimiza sana uwajibikaji wa viongozi na kusikiliza kero za wananchi. Hongera wana Nkasi kumpokea Rais
 
I

I guess alitatua na ya akina Lissu, Azory na Ben Saanane!
 
yule mama hata ukimwamsha usiku wa manane akiwa na wenge, umwambie apige kura ya urais atampigia mzee baba!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hakika huyu Rais anawezea mambo, anatatua matatizo ya wananchi in a very peculiar and funny ways. Anamaliza matatizo huku wanachi pia wakipata burudani. Hongera sana rais, umehimiza sana uwajibikaji wa viongozi na kusikiliza kero za wananchi. Hongera wana Nkasi kumpokea Rais
Hivi wahaya mmekuwaje , mbona kama mmekunywa maji ya ajabu!
 
Hakika huyu Rais anawezea mambo, anatatua matatizo ya wananchi in a very peculiar and funny ways. Anamaliza matatizo huku wanachi pia wakipata burudani. Hongera sana rais, umehimiza sana uwajibikaji wa viongozi na kusikiliza kero za wananchi. Hongera wana Nkasi kumpokea Rais
weka namba yako ya simu kuna nafasi ya ukuu wa wilaya ya kilolo huko panahitaji wazalendo kama wewe.
 
Hakika huyu Rais anawezea mambo, anatatua matatizo ya wananchi in a very peculiar and funny ways. Anamaliza matatizo huku wanachi pia wakipata burudani. Hongera sana rais, umehimiza sana uwajibikaji wa viongozi na kusikiliza kero za wananchi. Hongera wana Nkasi kumpokea Rais

Agony
 
Attachments

  • IMG_20191008_175026.png
    IMG_20191008_175026.png
    589.1 KB · Views: 1
Mzee wa Malimali..

Naanza kuziona vurugu na mbwembwe za uongozi wa Magufuli sawa tu na harakati za Lowassa alivyoamini na alivyotuaminisha kuwa hapakuwa na wa kumzuia kuwa Rais baada ya Kikwete 2015...KUMBE WENYE NCHI WALIKUWA WAKIMZOOM TU na kugonga glass za mvinyo!

Magufuli naye ana akili ile ile ya kiburi na kujisikia sana kwamba sasa madhali yuko Ikulu basi hakuna wa kumzuia kutawala Tanzania hadi siku ya kifo chake..

Anafikiri wenzake waliomtangulia hawakuwahi kutamani kutawala baada ya mihula yao ofisini kukoma...pamoja na kwamba hao wenzake ni watu "smart" intellectually and politically kuliko yeye anayebahatisha tu.

Seems haelewi habari iliyomkuta Dr.Salmini

Seems haelewi yaliyomkuta hata Nyerere mwenyewe!

Lkn kwa kadri muda unavyosonga, naona mbio za Magu ni sawa na mtoto anayecheza kwenye matope...lazima apige chini yan!

Huyu jamaa kajipiga vitanzi kuliko alivyodhani anawavisha wengine shingoni..

Kwa hiyo nasema...simwoni Magufuli beyond 2025, na hata sishangai nisipomwona beyond 2020, NEVER SAY NEVER!

POLENI KWA MVUA!
 
Status
Not open for further replies.
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom