GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,847
SWALI MKUU.
Hivi anaepaswa kulinda katiba ya nchi ni nani?
Mwananchi?
Usalama wa Taifa?
Jeshi?
Mahakama?
Bunge?
Au Rais?
Nitakujibu Maswali yako nikishiba.
SWALI MKUU.
Hivi anaepaswa kulinda katiba ya nchi ni nani?
Mwananchi?
Usalama wa Taifa?
Jeshi?
Mahakama?
Bunge?
Au Rais?
Katiba ya JMT haikitambui cheo cha Waziri kivuli hayo mambo yanaishia bungeni.Kuna jambo halipo sawa kwenye ziara zako ,kuna uongo mwingi kwenye hoja za mawaziri wako tena kunaonekana kuna mambo yanafichwa na mawaziri kwa kupitia wakuu wa idara huko mkoani na wilayani
Mfano Jana wakati naibu waziri shonza akisema kuwa wanaongeza usikivu wa TBC1 hata dar television hii inaonesha Giza tangu rais ameanza ziara
Pia niliona upweke/kushindwa kupata backup ya wabunge wa upinzani kwenye mikutano yako mikutanoni
Nilimuona waziri wa maji alivyotaka kudanganya kuhusu maji akishirikiana na waziri wa TAMISEMI ,kama wapinzani wangejumuishwa kwenye ziara (mawaziri vivuli) ungeweza kupata makandokando yanafichwa hivyo wewe kama rais ungetoa tiba ya kudumu kwa tatizo husika
Badala ya kujaza watu wenye mrengo mmoja na kusifia ungepata mawazo tofauti na kuounguza gharama za malipo
"MAENDELEO HAYANA VYAMA"
Katiba ya JMT haikitambui cheo cha Waziri kivuli hayo mambo yanaishia bungeni.
Rais Magufuli ni kiongozi anayeheshimu Katiba.
Maendeleo hayana vyama!
Hata sheria na kanuni hakuna mahali anatajwa Waziri kivuli bali kuna Wasemeji wa kambi ya upinzani kwa kila wizara.Kuna katiba na kuna sheria ,kama sheria za bunge zinatambua hicho cheo na hufanya kazi za kibajeti.
Wapi kwenye katiba wamemtaja mwenyekiti wa kamati za bunge
Huyo mh kakoso anatafuta nini
Maendeleo hayana vyama
Pitia hoja za huyo unayemuita msemaji wa upinzani utaona imeandikwa waziri kivuli(Shadow minister)Hata sheria na kanuni hakuna mahali anatajwa Waziri kivuli bali kuna Wasemeji wa kambi ya upinzani kwa kila wizara.
Fuatilia bunge la Ndugai uone kama kuna huo msamiati wa " Waziri kivuli "!
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo Tundu Lisu alikuwa ndio Waziri mkuu kivuli?!Pitia hoja za huyo unayemuita msemaji wa upinzani utaona imeandikwa waziri kivuli(Shadow minister)
Bunge letu linafuta kanuni za mabunge ya jumuia ya madolo Westminster legislative system hivyo cheo hicho hutambuliwa
MAENDELEO HAYANA VYAMA
Tatizo upinzani haujawahi mtambua magufuli kama Raisi wa nchi hata siku ya kuapishwa uwanja wa taifa haukwenda na hata alipoenda bungeni kuhutubia upinzani ulitoka nje.Sasa aambatane na nyie kama nani kwenu?
Inatakiwa kuwa officialWalisha kubali kitambo zilikuwa ni kelele zao tu ,huoni wanamuita mh rais kwenye mikutano mfano hapo juzi Janet mbene
Wapinzani wanamkubali kimoyomoyo
Katiba ipi inayokataza Bunge live?Rais Magufuli ni kiongozi anayeheshimu Katiba.