Status
Not open for further replies.
Kuna jambo halipo sawa kwenye ziara zako ,kuna uongo mwingi kwenye hoja za mawaziri wako tena kunaonekana kuna mambo yanafichwa na mawaziri kwa kupitia wakuu wa idara huko mkoani na wilayani

Mfano Jana wakati naibu waziri shonza akisema kuwa wanaongeza usikivu wa TBC1 hata dar television hii inaonesha Giza tangu rais ameanza ziara

Pia niliona upweke/kushindwa kupata backup ya wabunge wa upinzani kwenye mikutano yako mikutanoni

Nilimuona waziri wa maji alivyotaka kudanganya kuhusu maji akishirikiana na waziri wa TAMISEMI ,kama wapinzani wangejumuishwa kwenye ziara (mawaziri vivuli) ungeweza kupata makandokando yanafichwa hivyo wewe kama rais ungetoa tiba ya kudumu kwa tatizo husika

Badala ya kujaza watu wenye mrengo mmoja na kusifia ungepata mawazo tofauti na kuounguza gharama za malipo

"MAENDELEO HAYANA VYAMA"
 
Katiba ya JMT haikitambui cheo cha Waziri kivuli hayo mambo yanaishia bungeni.

Rais Magufuli ni kiongozi anayeheshimu Katiba.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kuna katiba na kuna sheria ,kama sheria za bunge zinatambua hicho cheo na hufanya kazi za kibajeti.

Wapi kwenye katiba wamemtaja mwenyekiti wa kamati za bunge

Huyo mh kakoso anatafuta nini

Maendeleo hayana vyama

Hata sheria na kanuni hakuna mahali anatajwa Waziri kivuli bali kuna Wasemeji wa kambi ya upinzani kwa kila wizara.

Fuatilia bunge la Ndugai uone kama kuna huo msamiati wa " Waziri kivuli "!

Pitia hoja za huyo unayemuita msemaji wa upinzani utaona imeandikwa waziri kivuli(Shadow minister)

Bunge letu linafuta kanuni za mabunge ya jumuia ya madolo Westminster legislative system hivyo cheo hicho hutambuliwa

MAENDELEO HAYANA VYAMA
 
Kwahiyo Tundu Lisu alikuwa ndio Waziri mkuu kivuli?!
 
Tatizo upinzani haujawahi mtambua magufuli kama Raisi wa nchi hata siku ya kuapishwa uwanja wa taifa haukwenda na hata alipoenda bungeni kuhutubia upinzani ulitoka nje.Sasa aambatane na nyie kama nani kwenu?
 
mtu kama zitto ni waziri kivuli wa fedha na uchumi,anamtukana Rais hadharani,unawezaje kuongozana na mtu kama huyo?
 
Walisha kubali kitambo zilikuwa ni kelele zao tu ,huoni wanamuita mh rais kwenye mikutano mfano hapo juzi Janet mbene

Wapinzani wanamkubali kimoyomoyo
Tatizo upinzani haujawahi mtambua magufuli kama Raisi wa nchi hata siku ya kuapishwa uwanja wa taifa haukwenda na hata alipoenda bungeni kuhutubia upinzani ulitoka nje.Sasa aambatane na nyie kama nani kwenu?
 
Rais wetu anafanya kazi, ameitakatisha nchi yetu. Mpeni hongera sana.

Mwambieni pia afungue milango ya ajira. Vijana wengi wapo mtaani na ikitokea nafasi kama huna wakukushika mkono huna lako.
 
Naona tabia hii kama imeota mizizi, sio Rais au watendaji wengine kulazimisha RAIA waseme asante kwa kila jambo linalotekelezwa na serikali kama vile mambo hayo yamefanywa kwa FAVOUR tuu lakini sio stahili.

Jee Rais hatambui kuwa kila afanyacho ni stahili yake na ndio maana analipwa na kutunzwa? Jee watendaji wengine hawajui kuwa no wajibu wao kutenda kwa mafanikio kwa 100% hata na zaidi?

Kwa sababu kama Rais anadhani ayafanyayo ni favor basi hajui kabisa wajibu wake na ni hatari kuwa na kiongozi mwenye muono huo.

Kwa nini wasijitokeze wazee na wastaafu kumuelewesha jambo hilo maana linaenda kuzalisha Gaddafi mwingine?

Kwa sasa ndani ya ccm watendaji hakuna mwenye ubavu wa kumtamkia kitu zaidi ya sifa tupu

Screenshot_20191008-135716.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom